Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).
Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...