Mashine ya Rostam inafanyaje kazi na imethibitishwa vipi?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
1587474508390.png
Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye kunyunyiza na kwamba dawa hiyo inadaiwa "kuua" virusi vya corona. Maswali:

1. Mashine hiyo imetengenezwa wapi na kwa lengo gani kabla ya ujio wa corona?
2. Je, ni dawa gani inatumika kunyunyizia watu kiasi kwamba wanajiexpose pumzi na ngozi zao kwa dawa hizo?
3. Je, dawa hizo zina vitu gani vyenye uwezo wa kuua corona kwa manyunyu lakini zisiwe na madhara kwa tu kupumulia au kuingia kupitia ngozi?
4. Kutokana na swali la 4; je inawezekana dawa hizi hazina vitu vyovyote vikali (active ingredients) ambazo zinaweza kusababisha kansa (carcinogens)? Visije kuua virusi vya corona lakini vikawa na madhara kwenye chembe za ngozi!
5. Dawa au mashine yoyote ya kufanya tiba inatakiwa ipitiwe utafiti wa kisayansi kuona uwezo wake kufanya unachofanya (efficacy) na kwa usalama (safety). Je, mashine hizi zimefanyiwa utafiti wapi na wa namna gani kuonesha kuwa zinafanya kile inachodaiwa kufanya?
6. Na kutokana na hilo la 5 je mtu akishapita kwenye hii mashine anakuwa amejikinga kwa muda gani? Ni kuwa virusi haviwezi kumgusa (vikimgusa vinakufa kama nzi kwenye moto). Je akibadilisha nguo bado ana "kinga" hiyo?
7. Wizara ya Afya inatakiwa kujibu maswali haya na watu wa TFDA pia.

Haya ni baadhi ya maswali tu. NI wazi kuwa Rostam anataka kutoa msaada na hili ni jambo zuri kweli kweli lakini bila kujibu au kutoa maelezo ya kujibu maswali haya (na labda mengine) ni vizuri watu waangalie na kufikiria mara mbili kabla ya kupita kwenye mashine hizi wakiamini kuwa wameua virusi vya corona na hivyo wako "clear".

Ninachojua ni kuwa mashine za namna hii zimekuwa zikitumika kuspray kwenye maeneo kama aiport, migodi n.k kwa ajili ya decontaminate watu. Na zipo za aina nyingi lakini linapokuja suala la corona ni kwa kiasi gani ziko effective ndio hasa swali langu.

Nje ya hapo, kama majibu ya maswali haya yote yanakubalika kiakili na yana msingi wa kisayansi RA anastahili pongezi za dhati na badala kumsubiria yeye tu serikali iwezeke kwenye kupata vifaa vingi zaidi.

MMM

NB: Mashine hii isije kuwa kama kikombe cha fulani.

BAADHI YA MASHINE ZA AINA HII:

1587476437854.png

1587476548202.png
 
Kwenye janga kama hili watu wanasahau utaalam labda kwasababu ya kuchanganyikiwa na tishio la ugonjwa sasa kila kinachokuja kinapokelewa bila kutafakari kina athari gani.
Sipingi hiyo machine ila umakini unahitajika.

Huku mitaani watu wanaponda malimao wanakunywa na maganda yake.

Tusipokuwa makini tutazua janga juu ya janga.
 
Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye kunyunyiza na kwamba dawa hiyo inadaiwa "kuua" virusi vya corona. Maswali:

1. Mashine hiyo imetengenezwa wapi na kwa lengo gani kabla ya ujio wa corona?
2. Je, ni dawa gani inatumika kunyunyizia watu kiasi kwamba wanajiexpose pumzi na ngozi zao kwa dawa hizo?
3. Je, dawa hizo zina vitu gani vyenye uwezo wa kuua corona kwa manyunyu lakini zisiwe na madhara kwa tu kupumulia au kuingia kupitia ngozi?
4. Kutokana na swali la 4; je inawezekana dawa hizi hazina vitu vyovyote vikali (active ingredients) ambazo zinaweza kusababisha kansa (carcinogens)? Visije kuua virusi vya corona lakini vikawa na madhara kwenye chembe za ngozi!
5. Dawa au mashine yoyote ya kufanya tiba inatakiwa ipitiwe utafiti wa kisayansi kuona uwezo wake kufanya unachofanya (efficacy) na kwa usalama (safety). Je, mashine hizi zimefanyiwa utafiti wapi na wa namna gani kuonesha kuwa zinafanya kile inachodaiwa kufanya?
6. Na kutokana na hilo la 5 je mtu akishapita kwenye hii mashine anakuwa amejikinga kwa muda gani? Ni kuwa virusi haviwezi kumgusa (vikimgusa vinakufa kama nzi kwenye moto). Je akibadilisha nguo bado ana "kinga" hiyo?
7. Wizara ya Afya inatakiwa kujibu maswali haya na watu wa TFDA pia.

Haya ni baadhi ya maswali tu. NI wazi kuwa Rostam anataka kutoa msaada na hili ni jambo zuri kweli kweli lakini bila kujibu au kutoa maelezo ya kujibu maswali haya (na labda mengine) ni vizuri watu waangalie na kufikiria mara mbili kabla ya kupita kwenye mashine hizi wakiamini kuwa wameua virusi vya corona na hivyo wako "clear".

Nje ya hapo, kama majibu ya maswali haya yote yanakubalika kiakili na yana msingi wa kisayansi RA anastahili pongezi za dhati na badala kumsubiria yeye tu serikali iwezeke kwenye kupata vifaa vingi zaidi.

MMM

NB: Mashine hii isije kuwa kama kikombe cha fulani.
Kwani vimetengenzwa nchini? Kama vimetoka nje inamaana TBS walishathibitisha UBORA wake.
 
Tuwaulize wanaccm inawezekana wanajua anachofanya huyu gamba namba 1
 
Hivyo vifaa vipo Duniani ama ni Tanzania tu..?

Hoja yako ina mashiko umewaza kama CIA,Bora umewaza kabla Ngosha hajaoga..

Hawa jamaa hawashindwi kitu kwenye kupenyeza mambo yao.
 
Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye kunyunyiza na kwamba dawa hiyo inadaiwa "kuua" virusi vya corona. Maswali:

1. Mashine hiyo imetengenezwa wapi na kwa lengo gani kabla ya ujio wa corona?
2. Je, ni dawa gani inatumika kunyunyizia watu kiasi kwamba wanajiexpose pumzi na ngozi zao kwa dawa hizo?
3. Je, dawa hizo zina vitu gani vyenye uwezo wa kuua corona kwa manyunyu lakini zisiwe na madhara kwa tu kupumulia au kuingia kupitia ngozi?
4. Kutokana na swali la 4; je inawezekana dawa hizi hazina vitu vyovyote vikali (active ingredients) ambazo zinaweza kusababisha kansa (carcinogens)? Visije kuua virusi vya corona lakini vikawa na madhara kwenye chembe za ngozi!
5. Dawa au mashine yoyote ya kufanya tiba inatakiwa ipitiwe utafiti wa kisayansi kuona uwezo wake kufanya unachofanya (efficacy) na kwa usalama (safety). Je, mashine hizi zimefanyiwa utafiti wapi na wa namna gani kuonesha kuwa zinafanya kile inachodaiwa kufanya?
6. Na kutokana na hilo la 5 je mtu akishapita kwenye hii mashine anakuwa amejikinga kwa muda gani? Ni kuwa virusi haviwezi kumgusa (vikimgusa vinakufa kama nzi kwenye moto). Je akibadilisha nguo bado ana "kinga" hiyo?
7. Wizara ya Afya inatakiwa kujibu maswali haya na watu wa TFDA pia.

Haya ni baadhi ya maswali tu. NI wazi kuwa Rostam anataka kutoa msaada na hili ni jambo zuri kweli kweli lakini bila kujibu au kutoa maelezo ya kujibu maswali haya (na labda mengine) ni vizuri watu waangalie na kufikiria mara mbili kabla ya kupita kwenye mashine hizi wakiamini kuwa wameua virusi vya corona na hivyo wako "clear".

Nje ya hapo, kama majibu ya maswali haya yote yanakubalika kiakili na yana msingi wa kisayansi RA anastahili pongezi za dhati na badala kumsubiria yeye tu serikali iwezeke kwenye kupata vifaa vingi zaidi.

MMM

NB: Mashine hii isije kuwa kama kikombe cha fulani.
Mzee Mwananzengo pamoja na kuhoji mambo hayo yote kwa manufaa ya wabunge wetu. Ambao kimsingi wao ndio wawakilishi wa nchi yetu maana Bunge ndio wananchi.
Lakini je unataka kutuaaminisha kwamba idara nyeti kama Tbs au idara ya inayohusika na usalama wa nchi hii hawajafuatilia inatoka wapi? Na hata hizo dawa zitozofushwa zina usalama kwa wabunge wetu?
Kama idara kama hizi nilizozitaja zimeruhusu mtambo huu utumike bila kuangalia usalama wake basi ni tatizo.
 
Back
Top Bottom