Nafasi za kazi za muda, waandikishaji wasaidizi na BVR Kit Operators - MPANDA, KATAVI

Jamii Opportunities

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
4,432
1,387
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kavuu Bw. Erasto Kiwale anapenda kuwajulisha kuwa , zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Vituoni awamu ya Pili katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe linatarajia kuanza tarehe 02.05.2020, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit Operators katika Kata zote za Halmashauri ya Mpimbwe, Hivyo anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza nafasi hizo, Kwa maelekezo zaidi na sifa soma tangazo lilipo hapo chini :-

1587635133241.png

1587635154960.png

1587635172870.png
 
Back
Top Bottom