kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. GE2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

    Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa. Hawaaminiki tena na wala hata wao...
  2. Nafasi za Kazi Wizarani na Taasisi zinazojitegemea

    Kumb. Na EA.7/96/01/ K/277 8 Septemba, 2020 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara na Taasisi zinazojitegemea anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi nne (4) kama...
  3. T

    Naomba kazi au kibarua mkoa wowote

    Habari wana Jamii Forums, Naomba kwa yeyote anayeweza anisaidie kazi/kibarua au hata mtaji kama itawezekana kwa mkopo baada ya makubaliano. Jinsia: Me. Elimu: Kidato cha sita. Makazi: Dar es salaam. NB: Niko tayari hata ikipatikana mkoani(nje ya dar). Nawasilisha.
  4. D

    Nimetuma maombi ya kazi kimakosa

    Naombeni msaada wadau, Nimetuma kimakosa application za ualimu, nilienda internet cafe kufanya application bahati mbaya aliyenihudumia akawa amechanganya taarifa zangu na mtu mwingi kwenye vyeti sasa tatizo linakuja nashindwa kuviondoa vyeti vya mtu mwingine kwenye account yangu.
  5. M

    Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    TBC inaendeshwa kwa kodi za Watanzania wote. Kwanini Magufuli peke yake ndio anaonyeshwa kwenye hii TV ya Taifa? Yaani hata akiwa anasalimiana na watu barabarani TBC inamwonyesha. Mbona wagombea wa vyama vingine hawaonyeshwi kama anavyoonyeshwa huyu?
  6. CHADEMA tuliwaambia kazi kubwa ni kujenga chama matawini ndio utafute kushika dola mkadharau

    Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini. CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama...
  7. Leo naweka 'Utani' wangu pembeni kabisa na naomba wana Simba SC Wenzangu 'Mnisamehe' ila kwa huyu Michael Sarpong Kazi ipo Kwetu na Tuisila abadilike

    Michael Sarpong Leo niseme tu ukweli wangu nimewahi Kuwashuhudia Washambuliaji mahiri sana hapa nchini Tanzania kutokea Timu mbalimbali za Ligi Kuu yetu hii ila kwa Kumtizama Kwangu katika Mechi zake Mbili huku nami nikiwa 'namtathmini' kwa Jicho langu la Kiuchezaji Mpira hasa miaka yangu ya...
  8. Je upo kama mimi? Nina marafiki wachache wa kweli, nawaza sana siku wakiniacha peke yangu

    Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu pia(kwa kiasi) Nakumbuka zamani nilikuwa na marafiki wengi sana, shule ya msingi ndio nilikuwa nao...
  9. Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

    Nipo hapa naangalia hotuba ya Mweshimiwa Rais, sasa kuna kitu kinanitatiza kuna vioo viwili vipo mbele ya Mweshimiwa Rais mbele sijaelewa ni vitu gani vile?
  10. S

    Natafuta watu watatu wa kufanya nao kazi

    Habari za mida hii. Mimi ni kijana mjasiriamali mdogo,kwa maana ya mtaji mdogo na idadi ndogo ya wateja.Pamoja na hayo nahisi kwamba kuna fursa nyingi ambazo nashindwa kuzitumia ipasavyo kwa sababu tu ya kuwa peke yangu na kukosa support ya watu sahihi. Hivyo basi nahitaji vijana watatu...
  11. Nafasi ya kazi kwa (fundi) Welder

    Salaam Wakuu, Nahitaji Welder mwenye ujuzi wa kutumia Mig na Tig Welding Machines. Mig Welding Machine Tig Welding Machine - Malipo ya kazi hii yanategemea makubaliano kati yako (fundi) na Muajiri (Mmiliki wa mashine tajwa hapo juu). Kigezo cha msingi ni uzoefu na uwezo wa kufanya kazi...
  12. Tabia ya kutofuata miiko ya matumizi ya silaha, Aliyoyafanya "Ukiwaona" almanusura nifanyiwe mimi

    Salamu na Utangulizi Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
  13. Kama unaweza kunisaidia kupata kazi Serikalini msaada wako tafadhali

    Habari za usiku huu ndugu zangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta kazi serikalini Elimu yangu ni: Degree ya ICT Jinsia: Kiume Umri: 29 Uzoefu kazini: 4 Years. Uzoefu katika mambo yafuatayo: 1. Penetration Testing (vulnerability, sniffing, exploit & tools and social...
  14. Hivi hii work placements system inaweza kufanya kazi kwetu Tanzania?

    Hello JF, Nadhani nishawahi kulileta before.. Ningependa kuona serikali yetu.. ina invest kwenye skills za vijana/graduates wetu... Kwa mfano Jeshi lingefutwa, badala yake vijana watafutiwe ajira zile za temporary... 3-6 Months! za masomo waliyosomea Hio hela inayotumika kuwa train vijana...
  15. Natafuta Law Firm nifanye kazi kwa kujitolea

    Habarini ndugu zangu. Naomba kama naweza pata sehemu ya Law firm, nifanye kazi kwa kujitolea kwa kipindi hiki kwani nimemaliza masomo mwezi huu. Natanguliza shukrani 🙏
  16. Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

    Mhe Rais wetu, na viongozi wote wa serikali yako, sisi kama vijana tunayemtazama. Paul Makonda kama chachu ya uongozi katika mioyo ya vijana, tunakuja mbele yako kwa unyeyekevu mkubwa kuomba msamaha wa yale yote aliyoyafanya kinyume na matakwa yako na serikali yako kwa ujumla. Tunaamini yapo...
  17. NBAA: Ni kosa kufanya kazi za kihasibu na kikaguzi bila kusajiliwa na Bodi

    Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imesema kuwa hairuhusiwi mtu yeyote kufanya kazi za kihasibu na kikaguzi bila kusajiliwa na Bodi hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Maonesho ya 15 ya Vyuo Vikuu jijini Dar es Salaam, Afisa Masoko na Mawasiliano wa Bodi...
  18. GE2020 CHADEMA tumieni huu muda vizuri wa kampeni, maana baada ya hapo tutakuwa na miaka 5 ya kuchapa kazi

    Magufuli ni mtu anayesimamia maneno yake, aliwahi kusema hakutakuwa na siasa za majukwaani mpaka 2020 na kweli imetokea hivyo. Tutakapo rudi baada ya uchaguzi hakutakuwa na siasa za maandamano kwa hiyo Lissu ajitahidi kuutumia huu muda vizuri majukwaani na sio kueleza amepigwa risasi ngapi...
  19. Nafasi 33 za kazi, sifa lazima uwe na Driving License Class C or E

    POSTCIVIL ARTISAN II - 33 POST POST CATEGORY(S)HR & ADMINISTRATION EMPLOYERTANZANIA RAILWAYS CORPORATION (TRC) APPLICATION TIMELINE:2020-09-02 2020-09-16 JOB SUMMARYN/A DUTIES AND RESPONSIBILITIESi.Packing of the railway track as directed by the supervisor; ii.To clear grass and bushes...
  20. Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    Habari wakuu..! Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane. -Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k) -Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…