kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Neno "watanionaje" ndio linawafanya graduates wengi kuchagua kazi

    Habarini wanaJF, nakumbuka kauli ya mgombea uraisi wa UKAWA 2015 Ndugu Edward Lowasa alotamka kuwa tatizo la ajira tusipokuwa makini litakuja kuwa bomu, sasa ni rasmi kauli yake imetimia. Kwa sasa ajira kwa wahitimu ishakuwa ngumu, tena baada miaka miwili au mitatu litakuwa kubwa zaidi. Kama ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ombi la nafasi ya kazi ya Ualimu katika shule au taasisi yoyote

    Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya Jografia na Kiswahili. Kwasasa naishi Dar es Salaam, natafuta shule iliyopo mkoa wowote yenye uhitaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu. Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Singida

  5. JamiiForums Tanzania Msaada naombeni kazi au connection nipate kazi

    Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam. Naombeni kazi ya ufundi umeme Elimu nina level three ya electrical.
  6. JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa?

    Habari za muda huu jamiiforums. Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki? Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nini kazi ya Katibu Mkuu Kiongozi?

    Katibu mkuu kiongozi anafanya kazi gani? Kuna umuhimu wa mtu kuwepo kufanya kazi hiyo?
  8. JamiiForums Tanzania Twende kazi: Ipi gari kali kati ya "Toyota IST" vs "Toyota Alex"

    Wakuu kama unataka kuvuta chuma ambacho kipo vizuri kwenye barabara kati ya toyota ALEX na IST, ipi ya kununua wakuu? Toyota IST Toyota Alex
  9. JamiiForums Tanzania Chato: Baraza la Madiwani lawasimamisha kazi Watumishi 15 kwa ubadhirifu wa Tsh bilioni 3.6

    Baraza la madiwani halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita limewasimamisha kazi watumishi 15 wa idara mbalimbali kutokana na ubadhirifu wa Sh3.9 bilioni za miradi ya maendeleo. Miongoni mwa watumishi hao sita ni wa idara ya manunuzi ,wengine sita ni watendaji wa vijiji, wauguzi wawili na...
  10. JamiiForums Tanzania Nimehitimu kidato cha sita natafuta kazi

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nina uzoefu wa kubeba mizigo na kutumia computer

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia computer. Naomba nisaidie Kama una connection kwenye makampuni ya ujenzi, na ya usafirishaji. Niko tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa. Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua...
  14. JamiiForums Tanzania Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Halmashauri ya Wilaya ya Busega

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kutokana na hali...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

    HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI: "ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI" Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…