Uchaguzi 2020 Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,228
2,000
Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi.

Subpost 3 - Mgombea Ubunge Jimbo la  Kilolo Mhe Jully P Mpugulla akiongea wakazi ( 401 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Mgombea Ubunge Jimbo la  Kilolo Mhe Jully P Mpugulla akiongea wakazi ( 401 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Mgombea Ubunge Jimbo la  Kilolo Mhe Jully P Mpugulla akiongea wakazi ( 401 X 640 ).jpg
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,996
2,000
CCM mwaka huu watapata majimbo yale waliyopitishwa na tume ya uchaguzi bila kupigiwa kura kinyume cha Katiba.
Mengine yote watapoteza.

Mwamko wa vijana na akina mama kujiunga na upinzani ni mkubwa sana.

CCM imebaki na wavunja maadili ya mtanzania na kutuletea maadili ya huko ulaya kupitia Wasanii wa muziki . Kampeni zimejaa wakata viuno majukwaani badala ya kwaya ya TOTI iliyokua inaimba kwa maadili.
 
Larson

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
255
250
CCM mwaka huu watapata majimbo yale waliyopitishwa na tume ya uchaguzi bila kupigiwa kura kinyume cha Katiba .
Mengine yote watapoteza...
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,564
2,000
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Utakuwa na kichwa kidogo huelewi anachosema Lissu na wagombea wengine wa CDM, hao unaowaona hapo kwenye picha wanaelewa ndio maana wamehudhuria, na bahati nzuri wapo mikoa yote ya Tz Bara na visiwani.
 
Kanyigoboy

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
347
1,000
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
Upinzani ni watu sio polisi mnaolingia nyie maccm mkienda bila mbeleko hata majimbo 30 amfikishi endelea kujipa moyo na kukalili kwamba kila siku ni jpili.
 
Tressa

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
576
500
Hahahaaaa!
So mkishinda mtawajengea flyover na maji 24/7na kodi hawatalipa?
 
Tressa

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
576
500
Tuta
Tutanunua ndege 100 kila wilaya iwe na ndege yake
Hahaaaaa kajengeni ofisi kwanza na mtuambie pesa za ruzuku mnapeleka wapi.

Viwanja mtajenga sasa ndio iwe misused of taxpayers money kama mnavyoimba humu kiwanja cha chato?
Magu is the Man....oct 28 save the date.
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,486
2,000
Hahaaaaa kajengeni ofisi kwanza na mtuambie pesa za ruzuku mnapeleka wapi. Viwanja mtajenga sasa ndio iwe misused of taxpayers money kama mnavyoimba humu kiwanja cha chato?....
Ni Nani atumiaye vibaya Kodi zetu Kama sio awamu hii Kodi zetu si salama zinatumikaje mtu na mjomba wake ndo wanajua.
Ruzuku inagharamia kampeni we uoni nyomi la bila fiesta
 
Tressa

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
576
500
Ni Nani atumiaye vibaya Kodi zetu Kama sio awamu hii Kodi zetu si salama zinatumikaje mtu na mjomba wake ndo wanajua.
Ruzuku inagharamia kampeni we uoni nyomi la bila fiesta
Mnatembeza bakuli la nini sasa!

Najua uko job unapiga campaign, good day sir.
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
7,129
2,000
Huyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi View attachment 1574819 View attachment 1574820 View attachment 1574821
Pale Kilolo kuna Jamaa anaitwa Brian Kikoti alikuwa Chadema, alikubalika sana 2015, wengi waljvutiwa sana na Sera zake, Alikimbiza sana 2015, This time akahamia ccm akidhani ndio itakuwa rahisi Kwake, wajumbe wamefanya yake, sijui anajiskiaje anavyoona nyomi hiyo, ccm imetuchosha sana wana Kilolo especially that useless Mbunge mwamoto.
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,486
2,000
Mnatembeza bakuli la nini sasa!
Najua uko job unapiga campaign, good day sir.
Kukuzugeni nyie msitumbambike kesi pesa za kampeni tumetoa wapi,cdm haijawahi pesa kuwa Ni tatizo,hio michango hata kujaza mafuta au kulipia tu hotel hazitoshi
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
6,087
2,000
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.

Hizi namba mbona kila siku mna mpya?

Walishasema bungeni harudi mtu. Wamesema yapatikane zaidi ya 1. Wamesema si zaidi ya 2, 3, 4 nk karibu namba zote mtamaliza.

Mlisema mna wabunge wanasubiri kuapishwa kumbe nayo ilikuwa ndoto za mchana.

Mwaka huu mliposhikwa, mtaimba hallelujah!
 
jo mose

JF-Expert Member
Aug 5, 2020
3,486
2,000
Pale Kilolo kuna Jamaa anaitwa Brian Kikoti alikuwa Chadema, alikubalika sana 2015, wengi waljvutiwa sana na Sera zake, Alikimbiza sana 2015, This time akahamia ccm akidhani ndio itakuwa rahisi Kwake, wajumbe wamefanya yake, sijui anajiskiaje anavyoona nyomi hiyo, ccm imetuchosha sana wana Kilolo especially that useless Mbunge mwamoto
Waliingizwa Chaka na mzee mawe wanajuuta Sana kuungishwa juhudi japo walionywa.Ukiwa mwanasiasa nenda na upepo wa wananchi,na si dola.Mwenye mtaji wa watu ndie anaemiliki dola,case study Maalimu vs le profesele
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,213
2,000
Utakuwa na kichwa kidogo huelewi anachosema Lissu na wagombea wengine wa CDM, hao unaowaona hapo kwenye picha wanaelewa ndio maana wamehudhuria, na bahati nzuri wapo mikoa yote ya Tz Bara na visiwani.
Bora Hakuna matangazo mbashara ya wapinzani kwenye TV ambapo unaangalia anachotaka mwandishi wa habari 'edited content'
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom