kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. 44 New Vacancies At TUME Ya Utumishi wa Mahakama, January 2021- (Various Posts)

    See the document below for more information
  2. Dkt. Mollel awafunda wafamasia wapya ili wawe wabunifu wasiishie kufanya kazi ya kutoa dawa pekee

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleoya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amewata wafamasia walioingia rasmi leo kwenye taaluma hiyo wasisubiri kufanya kazi za kuingiza dawa au kumpatia mgonjwa dawa bali wametakiwa kuwa wabunifu kwa kutengeneza dawa kwenye maeneo yao kazi ili kuweza...
  3. Mzee Uledi adai Dkt. Abbasi ameshindwa kazi au hafahamu majukumu ya kuwa Msemaji wa Serikali

    Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni kazi yake ya kujipatia kipato halali kabisa. Leo mchana huu nimepita pale Tandamti Street na nimempa...
  4. Waziri Jafo aagiza Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kusimamishwa kazi kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari

    Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari. Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi Yassini...
  5. Fundi welding natafuta kazi

    Habarini wanandugu. Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti. Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding Namba yangu hii 0763329715
  6. T

    Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  7. Wizara ya utalii sikilizeni ushauri wa huyu mtalii chukueni yale mnayoona yafaa yafanyieni kazi

    Huyu mtalii kuna kitu anakilalamikia sekta ya utalii Kenya lakini malalamiko yake na sisi kama wenye utalii yaweza tusaidia
  8. K

    PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

    Wanabodi heshima kwenu! Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli. Duru za siasa mikoani zinaeleza kwamba, sehemu kubwa ya Wabunge waliopitishwa...
  9. Rais Hussein Mwinyi awataka Vijana kuacha tabia ya kuchagua kazi

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana. Dk Mwinyi aliyasema hayo katika kilele cha matembezi ya...
  10. J

    Nina elimu ya Stashahada ya Uhasibu, naomba ajira

    Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2. Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
  11. Wakenya Ile floating bridge yenu haifanyi kazi?

    Likoni accident: Driver and conductor saved from sinking tour bus
  12. Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  13. Naomba ‘Connection’, natafuta kazi CCECC au CRJE

    Wakuu wenye connection katika kampuni za kichina zenye miradi mbalimbali Mhandisi nakuja kwenu. Ninao uzoefu wa kutosha katika Site Supervision na Design, nimejitolea katika miradi kadhaa ya ujenzi wa Barabara na Majengo. Naweza kufanya kazi popote Tanzania na katika usimamizi mdogo na...
  14. Ili niweze kufanya kazi TTCL natakiwa nisomee masomo gani na kozi gani chuoni?

    Miye ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 kwa masomo ya HGL, ningependa kupata mwongozo wa nini nifanye. Je, HGL yangu ya div 2 inatosha? Au kuna somo inabidi niyareseat? Na kama kwa HGL inawezekana ni chuo kipi kinatoa masomo hayo kwa ngazi ya diploma?
  15. MAGARI YA UMEME: Fahamu Faida Zake, Aina na Namna Yanavyofanya Kazi

    Magari ya umeme ndiyo magari yanayotazamiwa kutumika zaidi siku za usoni. Serikali nyingi barani Ulaya zinaahidi kusaidia utengenezaji wa magari yenye kiwango cha chini cha uzalishaji wa hewa sumu, huku makampuni ya Mazda na Maserati yakiwa tayari yametengeneza au kuweka mipango ya kutengeneza...
  16. Naweza fanya kazi ya aina Gani baada ya kusomea IT?

    Habar zenu jamani mi ni mgeni humu ndan nina shauku ya kujua kuwa naweza fanya kazi ya aina gani baada ya kusomea it?. Na pia kama nilisoma mchepuo wa arts o- level na mathematics nilifeli je yawezekana kusomea hiyo koz?
  17. B

    Naamini umbea ukitofautishwa na Intelijensia tutapiga hatua kimaendeleo

    Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi? Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
  18. M

    Naomba kujuzwa jinsi ya Kupata Kazi Halmashauri/ Manispaa

    Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
  19. Natafuta nafasi ya kazi ya Ualimu

    Habari za majukumu wana JF education? Naamini katika mafanikio ya kila mtu kuna mtu nyuma yake hata kama mafanikio yako yalikuja bila kusaidiwa na mtu naamini umewahi kusaidia mtu. Humu ndani kuna wamiliki wa shule, maheadmaster, headteachers, managers, HRs nk. Naomba msaada wa kutimiza...
  20. J

    Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…