Nafasi za kazi kwa wahitimu wa masters degree in Physics, Chemistry, Biology & Mathematics

FURY BORN

Senior Member
Jul 11, 2020
174
500
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.

Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.

Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,873
2,000

Tfadhali sana tunaomba mtusambazie ujumbe huu kwenye magroup yenu.
Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,873
2,000
Vijana siku hizi wanaosoma Sayansi wachache halafu akomae apate 3.5 GPA halafu Tena aende MSc. (Self-sponsorship) atoke na 4.0
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,335
2,000
Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
kuna jamaa mmoja nina mfahau tena wa huko huko Mtwara 1st degree ana GPA ya 4.0 lakini ni kilaza wa kutupwa. Jamaa alikuwa mwepesi sana kuhonga halafu kuwad wa kufa mtu.
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
14,873
2,000
kuna jamaa mmoja nina mfahau tena wa huko huko Mtwara 1st degree ana GPA ya 4.0 lakini ni kilaza wa kutupwa. Jamaa alikuwa mwepesi sana kuhonga halafu kuwad wa kufa mtu.
Huyo kufundisha hakutamfaa labda Ukuwadi Promax. Kufundisha kipaji ndugu!
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,008
2,000
Minimum GPA ya 3.5 Undergraduate na MSc. 4.0 kuwapata Bongo nadra halafu afaulu na Interview? Kwa akili hizi za kubet? Hapo wabembelezeni wastaafu tu. Vijana shidaaa
Mkuu acha kuleta uchuro wako kwenye kazi za watu,eboo!
 
kiwatengu

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
15,335
2,000
Huyo kufundisha hakutamfaa labda Ukuwadi Promax. Kufundisha kipaji ndugu!
Mkuu huyo jamaa ni boya sana...niliwahi kumsaidia sana hasa kwenye mambo ya kazi zake, akafanikiwa illa baadae kumbe ndio snitch wangu namba moja kwa Mkurugenzi wetu!!! ni fala tena fala sana huwa anaosha sana na hiyo GPA yake...sikujua masters alipiga ngapi kwa sababu nilivyojua usnitch wake ilibidii na kazi yenyewe niachane nayo as ilibakia kidogo kesi ya uhujumu uchumi iniangukie.
 
Emmanuel Kasomi

Verified Member
Oct 18, 2019
3,237
2,000
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.

Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.

Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
Tulio soma Art Tuendelee kusubiri
 
Artificial intelligence

Senior Member
Jan 28, 2021
124
250
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.

Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.

Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
Kigezo cha master's kimenitoa nje
 
JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Jan 22, 2014
433
250
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.

Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc.

Kazi kuanzia 2021/22 academic year. Kutakuwa na Skype interview. Maombi yatumwe kabla ya 20/3/2021 kwa stemmucohr@stemmuco.ac.tz au info@stemmuco.ac.tz
1st degree GPA 3.2 MSc GPA 4.4 vipi mtamconsider
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom