kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Operator wa excavator, wheel loader na bulldozer anatafuta kazi

    Poleni na majukumu. Mimi ni operator mwenye uzoefu kazini zaidi ya miaka 3. Kuna baadhi ya miradi nilifanya kazi Kama operator wa excavator sehem nyingine Kama operator wa bulldozer na sehem nyingine Kama operator wheel loader. Licha ya kuwa operator bado nina uwezo wa kufanya matengenezo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

    Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa. Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
  3. Palamana Ntweko

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma anaetaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT)- DSM

    Nafasi za kazi kwa Watumishi wa Umma wanaotaka kuhamia kufanya kazi katika Chuo Cha Utalii (NCT) Dar es salaam Kwa Mtumishi wa Umma anaehitaji kuhamia chuo cha Taifa cha Utalii kwa nafasi ya Mhasibu au Mkaguzi wa Ndani pls aje inbox 📨
  4. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  5. Africanism

    JamiiForums Tanzania Afisa muuguzi II natafuta kazi au kujitolea

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Me, umri miaka 25, naishi Bunju ,Dar es salaam nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali au...
  6. Planeti

    JamiiForums Tanzania Wakuu nawezaje kupata kazi ya CASINO hapa Dar

    Ndugu zangu maisha kwa kijana mimi yamekuwa changamoto. Natamani nirudishe mpira kwa kipa lakini imani inanijia kesho ni bora kuliko leo. Nisikate tamaa. Najua ni wengi tunapita katika kipindi kigumu, tupige moyo konde tusije jiingiza kwenye dili haramu tukajikuta kwny mikono salama.. Nimekaa...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu mhenga mwenzangu alipewa interview kazi ya IT, alionyesha umahiri wake kwa vitendo.

  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Ndugu yako akifanya kazi hii "Mmempoteza"

    Sielewi shughuli zingine zina nini ..lakini Mtu akijiingiza Tu huko na tabia inabadilika moja kwa moja ...harusi tena kuwa Yule wa zamani... Hii kazi ya udalali hapa Dar ..mtu akishajiingiza Tu ..basi very soon anakuwa 'haaminiki' 'mpigaji' "Utapeli" "Usanii".. Yaani hata Ndugu zake...
  9. Askofug

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva, hasa Uber na Bolt

    Ninaitwa Eliah Gwamaka. elimu yangu ni diploma ya IT. Pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya Bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya. Napatikana ukonga Banana Dar es Salaam. Namba yangu ya simu ni 0686 574164. Natanguliza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya unesi inahitaji moyo

  11. sekion27

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya uhasibu Arusha

    Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales. Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kazi za kujitolea nazo ni muhimu katika maendeleo ya Jamii

    Kazi za kujitolea ni kazi ambazo mtu au watu wanaamua kufanya kwa ajili ya lengo la kutoa msaada katika jamii. Misaada hiyo inaweza ikawa katika mfumo kifedha, mawazo,elimu na nguvukazi, kulingana na mahitaji ya jamii inayosaidiwa. Kuna baadhi ya watu huwa wanahisi kuwa kazi za kujitolea ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi 35 za Kazi at Tujijenge Tanzania – Loan Officer

    Job Positions 35 Loan Officer at Tujijenge Tanzania. Tujijenge Tanzania’s mission is to improve the quality of life for families in Tanzania through the provision of microfinance. We are a microfinance organisation, offering products through group and individual lending, targeting micro and...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mgonjwa ana haki ya kujua jinsi dawa inavofanya kazi?

    Kuna hoja imeibuka hapa hasa baada ya mzigo wa chanjo kuwasili. Kwanza niseme tu kwamba iwapo chanjo ya COVID itakuwepo na nikapewa taarifa sahihi na fursa ya kuchanjwa na mimi mwenyewe nikawa na sababu na uwezo wa kwenda kuchanjwa basi nitaenda kuchanjwa. Hivo andiko hili halilengi kukebehi...
  15. Mr Samba

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi, nina shahada ya Human Resource

    😂😂
  16. Doreen27

    JamiiForums Tanzania Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

    Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
  17. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

    Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpaka chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote. Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi. Tatizo ni kwamba yule mwanamke anaishi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  19. Isaya mwakyoma8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  20. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Nipo Mwanza natafuta kazi, nilisoma mpaka kidato cha tano

    Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili... Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana...
Back
Top Bottom