S socha Member Joined Nov 25, 2015 Posts 47 Reaction score 24 Dec 9, 2021 #1 Habari, Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing) Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane Jinsia yangu ni +ke hata kazi nyingine naweza kufanya, nipo Geita
Habari, Natafuta kazi ya ukemia wa dhahabu (gold processing) Kwa mwenye connection ama kazi naomba anisaidie wakuu maisha magumu bila kazi ndugu zangu tusaidiane Jinsia yangu ni +ke hata kazi nyingine naweza kufanya, nipo Geita
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,529 Dec 10, 2021 #2 Unaweza kwenda Chunya ? Huko kuna machimbo ya dhahabu naona wakemia huwa wanahitajika.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,186 Reaction score 42,879 Dec 10, 2021 #3 Mkemia unalia njaa..tengeneza hata chemical weapon..watakutafuta tu wakupe kazi. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Mkemia unalia njaa..tengeneza hata chemical weapon..watakutafuta tu wakupe kazi. #MaendeleoHayanaChama Sent using Jamii Forums mobile app
Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 643 Reaction score 576 Dec 10, 2021 #4 Umesoma bsc in chemistry??
S socha Member Joined Nov 25, 2015 Posts 47 Reaction score 24 Dec 10, 2021 Thread starter #5 Mwanamaji said: Unaweza kwenda Chunya ? Huko kuna machimbo ya dhahabu naona wakemia huwa wanahitajika. Click to expand... Asante Tatizo connection mkuu
Mwanamaji said: Unaweza kwenda Chunya ? Huko kuna machimbo ya dhahabu naona wakemia huwa wanahitajika. Click to expand... Asante Tatizo connection mkuu
S socha Member Joined Nov 25, 2015 Posts 47 Reaction score 24 Dec 26, 2021 Thread starter #7 Tusaidiane wakuu
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 12,067 Reaction score 16,607 Dec 26, 2021 #8 Elimu yako?