kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote halali

    Habari wakuu.. Natafuta kazi yeyote halali hata ya ndani Elimu yangu ni form six Ni mzoefu wa mambo ya uchenjuaji dhahabu Jinsia ni ke Umri 26 Mshahara naomba angalau uwe 150,000+ Iwe Mwanza au Geita Asanteni
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

    Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli. Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa watangulizi wake; Mwaka wa kwanza huwa ni wa kulekebisha palipoharibiwa na watangulizi baada ya hapo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kujenga miradi kwa fedha za ndani, hizo fedha za ndani kwa sasa zinafanya kazi gani au mapato yameshuka?

    Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani. Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani. Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi TRA: Toka nianze kazi TRA miaka 8, haupo wakati ukusanyaji kodi ulikubalika kama wa Hayati Magufuli

    "...wakati wa Magufuli ilifikia wakati wafanyabiashara wanagombania kulipa kodi kwa hiari yao." "...nakumbuka kuanzia 2018 ndiyo kipindi hasa wafanyabiashara nchini karibu wote wakubwa kwa wadogo walianza kugombania na kulipa kwa wakati kodi stahiki na tena wakati huo hata habari ya wao kutaka...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Askari aliyempiga picha "Binti" amevunja maadili ya kazi yake, ashtakiwe!

    Mwaka juzi kuliwahi kuibuka "upuuzi" wa Askari kukamata Watu/Watuhumiwa na kuwavalisha mabango yenye "tuhuma" Kisha kuwapiga picha na kusambaza mtandaoni. Leo hii Binti mdogo aliyejirekodi mambo yasiyo ya staha, amekamatwa na kupelekwa kituoni, akiwa kituoni Tena ofisini kabisa, anapigwa picha...
  7. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  8. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Haji Manara awatolea uvivu wafuasi wa Magufuli. Awaambia wamuache Mama afanye kazi

    Msemaji wa Yanga Haji Manara amejitokeza na kuwashambulia wafuasi wa Magufuli akidai wanamkwamisha Mama Samia. Amewataka ndugu wa marehemu wamuache Rais afanye kazi. Ametoa rai hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mikopo ishakuwa mingi sasa kazi inayoendelea ni madebe.

    Inaposemwa kazi iendelee na nyinyi mjiongeze ,utaziona kazi nyingi sana ambazo CCM walikuwa nazo wakati wa Magu na sasa zinasemwa kazi ziendelee au ziendelezwe. 1) Kama uliona unaonewa basi kazi ya kukuonea itaendelea 2) Kama uliona mambo yanakunyookea basi yatazidi kukunyookea 3) Kama waliiba...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  11. Hans wilson

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1, C2, C3, D, E

    Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo na makubwa aina yoyote Nina leseni C1,C2,C3,D,E NA NAUJUA UFUNDI VIZURI NA NIMESOMA VETA NANIMEMALIZA KIDATO CHA NNE NANIMEFAULU. KWA MAWASILIANO (0682600567). BARUA PEPE , hanswilson222@gmail.com.
  12. Cvez

    JamiiForums Tanzania BAVICHA na CHADEMA kazi mnayo

    Katika moja ya mistake kubwa ilifanyika ni kuanza harakati za Katiba Mpya wakati wanachama wameparaganyika. Enzi za Mwendazake ilikua kufanya siasa ni dhambi kiasi ambacho wengi ya wapinzani waliamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yao ya kila siku kwa usalama wao na familia zao. Walioendelea...
  13. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi TISS

    Habari wanajukwaa, Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya. watu wengi wamekuwa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama vya Siasa aunda kikosi kazi

    Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana. Where is Jaji Warioba in this Task Force at least. Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
  16. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Yaani ukiambiwa kuna ugonjwa unaosumbua baadhi ya watanzania hasa wanaccm ni kutamini kua nchi iko katika seasoni mpya kabisa, tena ni ugonjwa mbaya huu zaidi kuliko hata UVIKO-19. Tuna binadamu wana roho za kinyama zisizo na huruma eti wanajifanya wao ndio wanaumia kwa sasa. Kamwe hamtaweza...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta mdada wa kazi za ndani, Mshahara- 60,000 Sehemu-kinondoni Dini - yeyote Aina ya familia atakayofanyia kazi ina Baba , mama na Mtoto wa miaka 4. Atakayekuwa tayaru nicheck Dm Update “nmeshapata”
  18. DustBin

    JamiiForums Tanzania Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kazi za House Keeping Hotelini Lahe Mwanza. Simu 0754290084

    Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Namba E tayari, mliokuwa mnasubiria kazi kwenu

    Wale mliokuwa mnasubiria namba E zitoke ili mnunue magari, sasa the wait is over! Mzigo ushatoka, kazi kwenu...
Back
Top Bottom