kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Profesaa

    JamiiForums Tanzania Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  2. Championship

    JamiiForums Tanzania Afanya kazi miaka 84 (tangu 1938) katika kampuni moja

    Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
  3. Lu-ma-ga

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  4. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kuhusu Sensa ni vyema ingefanyiwa kazi

    Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba ngoma ambae huvutia kamba upande wake . Kuna watumishi wa umma ambao wanajiona wao ni bora sana kiasi...
  5. Fibonacci

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Mining Engineering, natafuta kazi. Napokea pia maoni na ushauri! Karibu

    Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines). Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea! NB...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa kwisha kazi na vita iko karibu kusimamishwa

    Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

    Habari, Nina Diploma ya Civil Engineering natafuta kazi nipo Dar es salaam, naitaji kazi za site ili niweze kuwa vizuri zaidi Pia ni mtaalamu wa Autocad na Archicad pia vingi nimeandika kwenye CV yangu. Msaada mwenye connection yoyote anisaidie ili nami nipate ujuzi zaidi wa kazi
  8. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Naomba dada wa kazi

    Mwanza kisasa Mshahara 40 Mtoto 1 0717601531
  9. Serengeti DC

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

    https://serengetidc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-serengeti-3
  10. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kutoa Maoni mbele ya Kikosi Kazi cha Rais leo Mei 23, 2022

    Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu Demokrasia. Mikononi ni chapisho la Maazimio ya Kamati Kuu Kuhusu Maoni ya Chama Kwa Kikosi Kazi. Timu...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi. 1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke. 2...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote jamani, maisha magumu

    Nina shida sana hali ngumu, nahisi kukata tamaa. Yoyote anisaidie kazi yoyote. Maana sina hela na nyumbani na nahitaji kupata mahitaji yangu Kama sabuni, nguo nk. Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia.
  13. Mr mhagama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva nina leseni class D,

    Natafta kazi ya udereva nina leseni class D, A1, A2 0759256570
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  15. polokwane

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape, mmeamua walimu na wanafunzi wafanye kazi ya anuani za makazi bure baada ya halmashauri kutafuna pesa za kuwalipa waliofanya kazi?

    Hebu soma maagizo hayo hapo chini Hello Gavanas naomba kupata taarifa kwa kila kijiji ambao tayari wameshafikishiwa Rangi za kuandika No za nyumba ktk mitaa yenu. Kazi hii ya kuandika no inatakiwa kufanyika kwa siku 2 tu yani Leo Ijumaa hadi Jumapili saa sita usiku ndio mwisho. Ushauri wangu...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania "Akili inavyofanya kazi" Tambo moja waliyokutangulia wanaokutawala!

    Nje nakuamini nguvu fulani ya utendaji ktk nyanja ya utawaliwa, maisha ni halisi tena ni halisi ya uhalisia. Naandika kitu hichi lakini najua tuna makundi tofautitofauti kiufahamu, naamini sio kila kitu nikwaajili ya kila mtu!. Mada yangu ni kama nuru hafifu ktk ufahamu wako juu ya mtawala na...
  17. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Hii ndio kazi 'Critical' wanayoweza kufanya UVCCM kwa sasa kulisaidia taifa sasa na baadae

    Kwa sasa, kazi ya msingi inayofanywa na UVCCM ni kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali chini ya Mhe. Rais Mama samia. Jambo wanalofanya ni zuri kwa kuwa ni kweli kuna kazi nzuri na kubwa zinazofanyika. Aidha, ni muhimu kwa kuwa mtu anapofanya jambo jema na akapongezwa, hiyo ni...
  18. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa Kidato cha Nne anatafuta kazi

    Habari wakuu! Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata. Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu...
  20. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
Back
Top Bottom