Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,115
- 10,822
Ukitilia maanani ushauri wa Henry Kissinger na kusikia kauli za kukata tamaa kwa viongozi wa Ukraine utaona ya kuwa Ukraine imeishiwa nguvu na haina tena wa kuisaidia. Hii inaweza ikawa ni habari nzuri kwa nchi za Ulaya na Ulimwengu kwa jumla kutokana na shida ambazo zimetokana na kuzuka vita hivyo baina ya Ukraine na Urusi. Kauli hizo za Ukraine ni kama hizi hapa chini,kwa hisani ya Aljazeera.Nyongeza kwa lugha ya Kiswahili ni zangu mimi Ami.
- Ukraine appeals for its allies to urgently supply it with multiple-launch rocket systems as fighting rages in the country’s eastern Donbas region.
- (Vita vimepamba moto ndiyo kwanza anaomba silaha}
- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy accuses Western countries of lacking “unity” over the war, citing differing positions on weapons supplies to Kyiv and disagreements within the NATO military alliance.
- (Kwa kauli hiyo ni kama amewadharau sana NATO na karibu ya kusema kama hamuwezi kusaidia na mimi naondoka zangu)