Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,928
Naishauri Serikali isiwatumie watu ambao sio watumishi wa umma kwenye zoezi la sensa na sababu ni hizi.
1. Wengi wanaomba maeneo ambayo hawayajui hivyo wanalipua ili wawahi kuondoka mfano mtu anakaa Dar es Salaam anaomba kazi ya sensa Matombo hapa atalipuwa ili amalize haraka aondoke.
2. Watumishi wenu wa umma wao wanafungwa na kanuni za kiutumishi kuwa watiifu hata akiharibu ipo namna ya kumuwajibisha.
3. Watumishi wengi wako kwenye maeneo yao ya kazi (within localities) hivyo kuongeza tija ya kazi ubora na ufanisi.
4. Kuna maeneo sensa ya makazi wameharibu kwasababu wamepewa kazi kwa kujuana na mabosi wa halmashauri walipoharibu wakatumwa walimu warudie tena bila malipo yoyote msipowafikiria hawa kazi ikiharibika tena itatafsirika mnaihujumu Serikali makusudi.