Nimesoma Mining Engineering, natafuta kazi. Napokea pia maoni na ushauri! Karibu

Fibonacci

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
374
204
Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).

Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!

NB: Nimekua nikijaribu sana kuomba nafasi zinazotangazwa na migodi ya GGM, BARRICK n.k bila mafanikio, hata interview haupati!
 
Hyo kozi ni majanga mdogo wangu nmebakiwa na gamba tu ndani ,komaaa kuomba huku ukipga mishe nyingine
 
Nmeona post ya member ushimen,ajira mgodi wa north Mara nafasi 73 au hakuna inayokuhusu Apo?
Mwenyewe nimeona nikajiuliza ama hahusiani navyo.? Enwei link hiyo hapo chini...!!

Fibonacci
 
Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines).

Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea!

NB: Nimekua nikijaribu sana kuomba nafasi zinazotangazwa na migodi ya GGM, BARRICK n.k bila mafanikio, hata interview haupati!
Njoo pm haraka.
 
Kaka ulishapata job?
 
Ndio pa kuanza kuchimba Madini uwe bilionea Sasa 😃😃
 
Back
Top Bottom