kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Muddy123

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua

    Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History Niko tayari kwakazi yoyote itakayopatikana iwe ni kiwandani au kampun au shule Namba yangu ni 0693206150
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Vuka na Chako la Mtume Mwamposa lamfukuzisha kazi kwa uzembe Meneja wa Uwanja wa Mkapa

    Salum mtumbuka, Ametambulishwa rasmi kuwa Meneja mpya wa uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam akichukua nafasi ya Daniel Madenyeka ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo. Utambulisho huo umefanyika siku moja baada ya kutokea kwa tukio la kushindwa kuondolewa kwa jukwaa la injili kwenye...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kwanini nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania wanatangaza bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika?

    Kumekuwa na tabia kama sio utaratibu wa nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania kutangazwa kwenye vyombo vya habari bila kutaja idadi ya nafasi zinazohitajika. Je, kuna siri au ubaya gani kama idadi ya nafasi ikatajwa kwenye tangazo la ajira. Nilitarajia Jeshi hilo kutoa mfano linahita vijana...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anafanya kazi nzuri sana. Sasa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanafanyaga kazi gani?

    Hii kazi anafanya Waziri Mkuu Majaliwa ya kudeal na wabadhirifu ni nzuri sana. Ingefanywa kwa ukubwa zaidi na ingekuwa endelevu ingetufaa sana. Ila najiuliza, madudu yote hayo wakuu wa mikoa huwa wanakuwa wapi? Na wenyewe wanahusika na huo ubadhirifu au ni mamna gani? Wanafaida gani kama kuna...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 2, declaration clerk na operation officer

    Anahitajika declaration clerk mmoja na operation officer wa kiume... Wawe wazoefu na Kaz sio wa kuelekezwa... Ajue kutoa magari bandarin, loose cargo na container. Atakaeingiza documents kwenye system awe anajua kufanya transit, local, container na loose cargo. 0764423726
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam FC endeleeni na Hashim Ibwe, Zaka Zakazi mtafutieni chaka lingine

    Hashimu Ibwe ni kijana, ni mweledi, anaufahamu mpira, ana mtaji wa mashabiki zake, anafahamika na ana bahati kweikwei. Au nyie hamuoni?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niache kazi hii?

    Wakuu habari, Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri. Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle. Cash ninayo 20M.
  9. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali kwa watumishi wanaohama vituo vya kazi na utatuzi wake

    Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma. Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi. Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
  10. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tayari kufanya kazi pamoja na wapinzani

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freemen Mbowe katika mkutano wa CHADEMA alisema kuwa aliandika barua kumuomba Rais Samia Suluhu kufanya maridhiano ya kitaifa wakiamini ni njia sahihi ya kufanya kazi na kujenga nchi na Rais Samia alijibu barua hiyo ndani ya siku 3 alilidhia ombi hilo. Pamoja na kuwa na...
  12. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya winga kwenye duka lako la simu

    Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
  13. chuma gama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

    Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Nabii Geordavie kwa kazi yake iliyotukuka

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Kipekee kabisa Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Una moyo wa kipekee sana, sina shaka ndiomana una marafiki wa dini zote hapa nchini na ulimwenguni, nafuatilia matukio yako na kazi zako zote za utumishi na wema wako kwa watu mbalimbali. Nimewiwa kukupa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za Phiri zinafanywa na bwana mdogo Clement mzize na Yanga wala hawaringi

    Nafikiri ubora wa timu unaangaliwa pia na upana wa kikosi chenye wachezaji wanaoweza kutoa ubora ule ule walionao wachezaji wanaoanza kikosi cha kwanza, Yanga wameonyesha ni timu yenye kikosi kipana kisichomtegemea mchezaji mmoja kupata matokeo. Wameonyesha hilo kwenye mechi za ligi tofauti na...
  16. SaulGoodman

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Idara ya Uhamiaji Leo 11/12/2022

    Habari zenu wandugu, naomba niende kwenye hoja Moja kwa Moja. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za ajira 500 kwa vijana wa kitanzania wenye sifa na vigezo mbalimbali vya kitaaluma Leo tarehe 11/12/2022. Unaweza pitia attachments hapa chini kufahamu zaidi. Lengo la Uzi huu ni kuweza kupata...
  17. Gooluckyshy

    JamiiForums Tanzania Nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade II VIP. Naomba kazi nina uzoefu wa miaka 4

    Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
  18. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme naona imeanza kazi

    Haya limewashushuka shuuuu.. Wapinzani wote wanaobeza kazi za mama yetu... Mama yetu anaupiga mwingi... Tayari keshafanikisha. Yale mabehewa yetu mapya yaliyoletwa ya treni yetu ya UMEME yameanza kupiga kazi... Na yanapendeza kweli... MAMA ANAUPIGA MWINGI.
  19. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Huyu apewe urais tu tumalize kazi

    Apewe tu. Nchi zilizoendelea zilipata watu kama mtaka zikatoka kwenye ubabaishaji, unyonyaji wa wenyewe Kwa wenyewe. Mnasema hizi nchi zina amani. Amani ni nini? Ni kutopigana tu? Nchi nyingi maskin Zina umaskin uliokithiri na ndio ukosefu wa amani wenyewe. Viongozi waliostaafu wanaongea...
  20. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
Back
Top Bottom