kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwanziva afanya Kikao Kazi na Makatibu Hamasa Mkoa wa Dar es Salaam

    MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva, akiongoza Kikao Kazi na Makatibu Hamasa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Siwezi kusahau siku niliyofukuzwa kazi nikiwa baa

    Hello wazee na mashangazi, Kuna tukio lilinitokea Mwaka 2021 mwishon tarehe kama ya Leo sitokaa niisahau. Nilikuwa nimekaa zangu Bar nakunywa castle zangu lite na embassy nimekaa na mhudumu tunapiga story za hapa na kule. Mara ghafla nikasikia SMS imeingia Kwa Simu nikasema siisomi Kwanza...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi

    Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    MZEE Mohammed Juma, Mkazi wa Unguja Zanzibar amesema kama Taifa tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na alikubali lolote limfike lakini Tanzania isonge mbele. “Tuna kazi kubwa sana ya kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli, tuna kazi kubwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nijuavyo moja ya Kazi ya Rais na Serikali yake ni Ujenzi wa Miundombinu Bora ya nchi, sasa magoti ya kumshukuru yanatoka wapi?

    Baadhi ya wabunge na madiwani wa mkoa wa Njombe wamepiga magoti kumshukuru Rais Dkt @SuluhuSamiakwa namna ambavyo ameguswa na matatizo ya barabara za mkoa huo na kutoa fedha za kuzijenga. Hatua hiyo imeongozwa na mbunge wa Makambako, Deo Sanga maarufu Jah People. Chanzo: ZAMARADI TV Hivi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi KAHAMA

    Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA. Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
  8. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  10. Home tutor

    JamiiForums Tanzania Shule inayotembea

    Tuition nyumbani Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada. Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali zaidi. PM now. Usisite ili ujue kila kitu kuhusu shule inayotembea Dsm. 0622374787 or PM to get my email
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ufundi ni kazi iliyobarikiwa na Mungu ila mafundi ndiyo tunazingua

    Ukiitazama dunia na vilivyomo! Unagundua mataba na madaraja ya kibinadamu ni chimbuko kuu la kiufundi! Hata wakristu wanatuambia Mungu "aliumba" Uumbaji ndiyo kazi pekee kubwa ya kwanza kuwepo duniani! Hata Yesu alizaliwa na fundi selemala! Ufundi ni kazi bora sana kuwepo na laiti hata hapa...
  12. Gaganiga

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

    Saludo, Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything. Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
  14. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nafasi ya kazi

    Habari wakuu Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana. Nina uzoefu katika kazi za IT, Sales and marketing,Project Management pia nipo tayari kujifunza na kufanya kazi yoyote ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi ya kupoteza watu ndani ya "Kitengo" wanapataje kazi hii?

    Kwa mwenye kujua, hivi watu wanaofanya hii kazi ya kikatili wanakuwa na sifa gani za kupewa hii kazi ndani ya Kitengo? Kama ni vibarua, Je, hununuliwa vitu kama bangi waweze kuifanya hiyo kazi pasipo kujali wanachokiofanya? Au watu wakishapata ajira, baadhi yao hupangiwa hii kazi wapende...
  18. S

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka. Amos Makalla aliazisha...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera Rwanda kwa kubadili muda wa kazi Ili kuwapa watoto muda wa kupumzika. Tanzania tunalo la kujifunza

    It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto. Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa hebu saidieni kuelewesha Watendaji maana ya mafunzo kwa vitendo (internship)

    Kumekuwa na unyanyasaji sana kwa watoto wetu wanaochukuliwa kwenye Ofisi za Serikali kwa ajili ya mafunzo ya kazi (internship programs). Ukienda sekata binafsi kuna nafuu kubwa sana sana hasa kwa waajiri wale wa uhakika. Vijana wanaochukuliwa Serikalini hata wanaotokea Taesa hawana chochote cha...
Back
Top Bottom