Licha ya Nape kushindwa kabisa kwenye bando na anwani za makazi, na January kufeli kabisa kwenye umeme, uashangaa wanavyoenda kuchaguliwa huko kamati kuu!
Rushwa ni mbaya ila inawaneemesha hawa vijana.
Habari!!
Natafuta kazi ya kufanya kama muuguzi na mkunga nina diploma level kwenye hospital au dispensary sehemu yoyote kati ya kwanza, Shinyanga au Kahama.
Mwenye connection anisaidie tafadhali
Ndugu wanaJF, kama upo Dar es salaam na una kazi yoyote inayohitaji mtu wa kusaidia, tafadhali naomba tuwasiliane. Iwe ni kufundisha watoto(msingi na sekondari), iwe ni manual works, iwe ni shughuli za steshenari, iwe ni usimamizi, usimamizi wa restaurants n.k. Mhitaji ni mwanaume, 35+. Ni...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar
Umri :29
Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa.
Mahali nakoishi: Tegeta -Dar
Jinsia: Kike
Tafadhali tusaidiane maana hali si hali.
Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na hatuteuliwi kugombea au kupewa nyadhifa.
Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu utasikia CCM ina wenyewe. Hapo...
Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni.
Elimu yake:
Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo.
Uzoefu wa kazi:
Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam.
Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo...
Rais William Ruto amewasimamisha kazi makamishna wanne wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa madai ya kukiuka miiko ya utumishi. Makamisha hao walipinga matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo na kudai kuwa hawayatambui.
Makamishna hao, Juliana Cherera, Justus...
Habari za Majukumu wapendwa!
Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini!
Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada.
Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika.
Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
Unapobadilisha mtaala kutoka ule wa kujua tu na kuajiliwa kwenda ule wa kujua na vitendo zaidi na kujiajili kunahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao ni ghali sana. Unapobadilisha mtaala maana yake utahitaji seti mpya ya walimu waliohitimu kwenye mitaala ya aina hiyo hiyohiyo au ya aina hiyo ambao...
Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa.
Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
Huu ni Utapeli wa Wazi kama Utapeli mwingine. Serikali msipookoa Wananchi wenu Wapumbavu nani atawaokoa? Au ni viongozi gani hufaidika na Michezo hii?
🔰SHERIA NA UTARATIBU WA PLATFORM YETU
MAELEZO NA SHERIA ZETU
💸📲
VIWANGO VYA KUWEKEZA NA FAIDA UTAKAYO POKEA YA ASILIMIA 100% BAADA YA SIKU...
Kwa wale wabobezi wa jinsi Serikali ya JMT inavyofanya kazi mnaweza kutusaidia kutuelezea job descriptions za Rais na Mawaziri wake.
Na ikiwapendeza mnaweza kuongezea na zile za Wakuu wa Mikoa na Wilaya zetu. Nauliza hivi ili tusiyojua, tujue ni nani tumpongeze au tumlaumu punde viongozi hawa...
Unjani sabuwona.
Wakuu nipo hapa kuwaambia huu mwaka haupiti kabla sijaacha kazi ya usalamaa wa Taifa (Tiss) maana siku baada siku iendayo kwa mungu regression point inaniwazisha.
Wakuu huu ni mwaka wa tatu tokea nipo usalama wa Taaifa ila nitaficha site yangu ya kazi because of my life...
Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT.
Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
Mambo vipi au niseme good evening.
Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali.
Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza.
Weekend njema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.