Nifanyeje ili niache kazi hii?

Nifanyeje ili niache kazi hii?

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,192
Wakuu habari,

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri.

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle.

Cash ninayo 20M.
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
Sababu umeandika mtaji wako Ni Tsh. mil 700, nashauri ufungue yard ya magari mkuu.
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle
inabidi useme nikazigani unataka kuacha na biashara ipi unawaza kuifanya ili upate muongozo
 
Kama unaweza kufanya kazi na ku save hicho kiasi cha pesa.. nakusahuri uendelee kufanya kazi yako kwa moyo mmoja.

Asikudanganye mtu, bongo hakuna mfanyabiashara.. wapo wachuuzi tu..

Yaani ununue kitu 200 utafute wa kumgonga umuuzie 350.. ndo ujasiriamali wa wabongo huo... mwisho w siku ni pasua kichwa..

We endelea na kazi yako.. achana na habari za kuja kua mchuuzi
 
Makazini tunasnichiana sana
Hamna kipya, piga kazi.

20M sio pesa nyingi sana kama hata plans za biashara huna, jichanganye uone zitakavyopukutika

Muhimu, endelea na kazi huku ukiendelea kutunza na kukuza huo mtaji + kutafuta nini cha kufanya.
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle

Cash ninayo 20M
Hiyo sababu yako inayokufanya utake kuacha kazi ni dhaifu sana.
Unadhani huko kwenye biashara unakotaka kuingia ndo hakuna majungu mkuu?
Wahenga walishasema, 'penye rizki hapakosi fitina'
 
Wakuu habari.

Nataka kuacha kazi na niingie kwenye biashara. Kiufupi kazi hii imekuwa na majungu mengi. Imefika wakati nimeona nijiajiri

Naomba ushauri wako, nifanye biashara gani, na nianze vipi, na mtaji kiasi gani, kwa mtaji wetu wa tunaohustle

Cash ninayo
unafanya kazi gani? Itaje? Iyo 20m ni mkopo? Dhamana uliweka kitu gani?

Then nitarudi kukushauri mkuu
 
Back
Top Bottom