Sijawah kufuatilia kwa ukaribu kazi za huyu jamaaa anapotembelea wakulima hadi nilipoona akaunti ya wizara ya kilimo huko Tiktok.
Kiukweli HUSEIN BASHE anafanya kazi nzuro sana ya kuwanyanyua wakulima! ni vile tu Awamu ya TANO ilivuruga mifumo mingi sana hadi kwenye kilimo na hii inapelekea...
Habarini za usiku wadau,
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge.
Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao nikakutana na PDF za kutosha kwa watu walioitwa kwenye usahili.
Kwani nimekuta utofauti kidogo.
Majina...
Kuna watu hapa JF wanakariri habari za miaka ya nyuma halafu wanazileta sasa bila ya kujua nini haswa wanachokiandika.
Ni hawa wanaopenda kuandika habari za nchi kuibiwa, na habari za ndege kuonekana huko maporini. Hawa kuna mahali hawaelewi labda hawafahamu kuwa TZ ya sasa imenunua rada nne...
Nauona umaskini unaanzia pale mtu uko zako chuo halafu unakaa miaka zaidi ya mitatu bila kufanya kazi unakamua pesa tu za wazazi kukulipia ada na malazi bila kuingiza chochote na mwisho wa siku ajira hakuna! Huu ni umasikini tuliokubali kujitengenezea bila kujua kuwa ni chanzo cha umasikini...
Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda.
=====
Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
Kumekuwa na zuio la watanzania wanaopata chance kwenda kufanya kazi ugaibuni kuzuiwa kusafiri hasa hasa siku ya safari,licha ya kwamba mtu anakuwa na vielelezo na viambata vyote muhimu kwa madai kwamba wanaenda kufanyiwa vitendo vibaya,Yamkini wapo mabosi wanafanya hivyo la kini si wote ...
TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED
Job Summary
We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam
Recommended:
Minimum Qualification: Certificates
Experience Length: No Experience/Less than 1 year
Job Overview
A full-time permanent Teacher...
Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
Nadhani Diwani angepelekwa ubalozini huko Canada au mahala pengine ili kutoa smooth working condition kwa anayekuja, na itaondoa tension fulani ambako huwa kanakuwepo.
Nimejitoa kukitumikia Chama Cha Mapinduzi kwa moyo na nguvu zangu zote. Ni muumini wa siasa za CCM na ninaamini bila CCM hakuna siasa safi wala viongozi bora na kwa mantiki hii nitajitoa kuhakikisha kinasalia madarakani.
Baada ya siku ya leo kutenguliwa kwa zuio la kutofanya mikutano ya...
Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial.
Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM
Email...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu.
Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
Here you get Kiswahili version to start with followed by English version
KISWAHILI VERSION
TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII?
Kwanza kabisa TET...
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini?
Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka kwa bei kubwa kweli kweli.
Na kuna siku juzi kuna msichana mmoja aliniambia kuwa anavitumia na...
Habari wana jf.
Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza sana nchi yetu na vivutio vyake kwa ustadi na weledi siyo ule UJINGA UJINGA wanafanyaga baadhi ya...
Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia.
Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki.
Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
Ninachofahamu kazi zote zinazotumwa na wanachama hapa jamvini ni mali ya JamiiForums.
Kijana wa Kikurya UMUGHAKA ameonyesha kipaji na kipawa cha hali ya juu kwenye uandishi wa riwaya. Lakini hizi kazi zake zinalindwaje dhidi ya maharamia?
UMUGHAKA aelekezwe BASATA na umuhimu wa kusajili kazi...
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta
Vigezo
Awe mkazi wa Arusha Mjini.
Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta.
Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha.
Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care).
Awe anajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.