kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mama Janeth Magufuli amestaafu kazi katika utumishi wa umma? Kwa sasa anafanya kazi gani?

    Mama yetu Janeth Magufuli alikuwa mwajiriwa WA serikali Mwalimu; baada ya Magufuli kuteuliwa kuwa mgombea Urais na baadaye Rais kazi ya ualimu ilisita japo kwenye utumishi WA umma sijui kama kuna kipengele kinachotoa ajira automatic Kwa mke wa kiongozi. Na kama kipo je ni ajira zote? Kutokana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

    Habari wana JF, Mimi ni HR wa kampuni fulani kwa miaka 2 sasa. Nimepewa order na maboss zangu kumfukuza mfanyakazi ambae amefanya kazi kwenye kampuni hii kwa miaka 17. Amefanya kosa ambalo ni la kusamehewa tu ukiangalia na muda aliojitoa kwenye kampuni hii. Bado hajui chochote na kwangu imekua...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Mining Cadastre Portal mtandao huo umezimwa sasa ni miezi 4 haufanyi kazi

    Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa. Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa. Waziri...
  4. JamiiForums Tanzania Bayern Munich yamsimamisha kazi kwa muda Sadio Mane kwa kumpiga Leroy Sane

    Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane. Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukimeza kidonge kwa maji ya baridi sana, kidonge hakifanyi kazi

    Hivi ni kweli kuwa mtu anapomeza vidonge kwa maji ya baridi sana ya friji, vidonge hivyo haviwezi kufanya kazi?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya chupi sio kuficha sehemu za siri tena?

    Naziona sana aina hii ya nguo, ama kwenye mwili wa mwanamke au madukani. Kitamaduni nguo hii ni maalumu kwa ajili ya kuuficha uchi ili usionekane kirahisi na kuutia joto ubaki na vuguvugu. Naona kama maana ya vazi hili imepotea. Zinavaliwa nyavu ambazo uchi unaonekana moja kwa moja bila kificho
  8. JamiiForums Tanzania Agricultural Manager, Tanzania - mshahara kuanzia milioni 7 hadi 10 na other benefits

    Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for an additional 1 or 2 Agricultural Managers to join the team in Tanzania. Our client is a...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba anasema Watanzania tukae tutulie Rais Samia anafanya kazi nzuri

    Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa" Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
  11. JamiiForums Tanzania Kuomba kazi NMB Bank

    Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa maombi yako yamekatatliwa yaani kimya tu. Naombeni msaada hivi kuomba ajira zao unataikiwa upitie njia...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Mkurugenzi Mkuu na Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando

    Leo jioni nilienda kumjulia hali mgonjwa wangu aliyelazwa Cancer Center. Sikuamini macho yangu kutokana na usafi niliouona pale Cancer Center. Chumba cha wagonjwa ni safi sana na sasa ukija kwenye mashuka ambayo ni meupe ni masafi kweli kweli. Hapa Bugando wodi zote ni safi. Mimi binafsi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

    Wapendwa habari zenu Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

    Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
  16. JamiiForums Tanzania Bodi za Wadhamini za CHADEMA hazina Ufanisi katika Kusimamia Utendaji Kazi wa chama chao

    Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inaitaka Bodi ya Wadhamini ya Chama kufanya mikutano isiyopungua mitatu kila mwaka. Hata hivyo, nilibaini kuwa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikufanya mikutano yoyote katika mwaka huu wa fedha...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi Trafiki na Ukaguzi wa Leseni hawafanyi kazi kwa weledi!

    Tumesikia hivi karibuni, tangazo la Polisi Trafiki kupitia kwa Kamanda wa Trafiki Ramadhani Ng'azi kuwa dereva aje na leseni, kitambulisho cha NIDA, kitambulishi cha mlipa kodi TIN, cheti cha afya na shada ya shule aliyisomea udereva! Kwa hayo masharti tu, unagundua kuwa kitengo chetu kina...
  18. JamiiForums Tanzania Biswalo piga kazi wazalendo tupo nyuma yako

    Mh Judge Biswalo ni kiongozi muadilifu, mchapakazi, mtenda haki. Aliopokuwa DPP aliifanya kazi yake kwa weledi mkubwa. Alihakikisha mafisadi wanaonja uchungu wa kuiba mali za watanzania bila kuonea mtu. Sasa mafisadi na majizi yanatumia nafasi waliyopewa kulipiza kisasi kwa kumchafua na...
  19. JamiiForums Tanzania Chombezo: Binti wa kazi mcharuko

    Chombezo : Beki Tatu Mcharuko Sehemu Ya : Kwanza (1) “Shogaa yule mfanyakazi nimeshampata ni wewe tu uje kumchukua maana kadada kenyewe kamekaa kazungukazungu kasije kuniibia mume haka.” “Mhhh! Uzungu huo vipi, kwahiyo ndo umenitafutia huyo aje kuwa mke mwenzangu au? Kwani amna wadada wengine...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Agiza nami Vioo vya samsung original kutoka China ndani ya siku 14 za kazi

    Habari wana JF, Nimepata chimbo la kupata vioo original vya simu za samsung kutoka China, nakuagizia ndani ya siku 14 za kazi unapokea mzigo wako kwa bei nzuri kabisa. Nicheki whatsapp 0657940974
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…