kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ingekuwa Tanzania 🇹🇿 tunafanya kazi nyumbani za ofisini kwako ingekuwaje?

    He'll Africa Nimejaribu kuwaza sana kama Tanzania kwa kiasi kikubwa wengi tungekuwa tunafanya kazi za ofisini nyumbani ingekuwaje? Kwangu mimi ni ngumu sana huwa najitahidi lakini wapi mpaka napigiwaga simu na boss sioni kazi kazi zikitumwa kwenye system hali inayo nipelekea kwenda kazini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika) 👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani 👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
  3. JamiiForums Tanzania Twende kazi

    Kama picha inavyo jieleza
  4. JamiiForums Tanzania Hivi siku Gerson Msigwa akifutwa kazi itakuwaje?

    Wallah sipati picha! Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi. Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi? Sielewi hata...
  5. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri ya Gado katika katuni Rais Samia

    Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
  6. JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasomi vijana wasio na kazi

    Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35. 1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania 2. Fanya mtihani wa lugha ya German German inatoa viza za kazi kwa wasomi . Fuatilia badala ya kupoteza muda na kutegemea watu wakuletee information zote...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha Poland 🇵🇱 yakoje ( walio wai kuishi au kufanya kazi ) ?

    Habari zenu wakuu ! Naomba mmtu mwenye uzoefu na maisha ya Poland, ashushe ABC zake ( ambae alikaa mda mrefu ikiwa kwa masomo au maisha ) Asanteni wakuu!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  10. JamiiForums Tanzania RC Chalamila ataka Mabasi ya ‘Mwendokasi’ yafanye kazi saa 24

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amawataka Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) maarufu kwa jina la Mwendokasi, kuangalia namna ya kuongezeka muda wa kufanya kazi hadi kufikia saa 24 badala ya muda uliopo sasa. Mbali na hilo pia amesema hafurahishwi na malalamiko yaliyokuwapo...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara. Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto! Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa.. Yaani kila...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtumishi mpya wa umma ili afanikiwe kwenye ajira yake?

    Habari za wakati huu, kama ambavyo mnafahamu Serikali imetoa ajira mpya nyingi tu na watu bado wanaendelea kujiunga na utumishi wa umma katika kada mbalimbali, kuna ambao wametoka fresh from school, wengineo kwenye sekta binafsi pamoja na ujasiriamali n.k Kama inavyofahamika kwenye ajira yoyote...
  16. JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL Kuanza Kazi Wiki Ijayo

    Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima KAZI KAZI jimboni Kawe

    GWAJIMA KAZI KAZI Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na kujenga mifumo mizuri ya kupokea maji ili kuepuka Mafuriko wakati wa Mvua.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ili niweze kujipatia kipato

    Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye miaka 25 nipo Shinyanga, level yangu ya elimu ni shahada ya awali ya elimu katika masomo ya geographia na historiaa. Natafuta kazi yoyote ili niweze jipatia kipato iwe ndani ya nilichosomea au nje ya kada yangu maana uzoefu nilionao nimewahi fanya kazi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Protase Rugambwa: Askofu Mwandamizi Anayeripoti Kituo chake cha Kazi Jimboni Tabora 25 Juni 2023

    Jumapili ijayo Juni 25, 2023, jimbo la Tabora linampokea askofu mkuu Protase Rugambwa akitokea Roma alikokuwa kwenye jopo linalomsaidia Papa kuongoza kanisa duniani. Jopo hili linaitwa "Roman Curia" lina idara zinaitwa "dicastery" na moja ni ya "Uenezaji Injili Duniani". Akiwa bado padri...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Ofisi za kazi mkoa tatueni kero hizi wanazopitia wafanyakazi wa viwandani

    Viwanda ni katika sekta zinazotoa ajira nyingi sana kwa wananchi, Sekta hii ni ya muhimu katika ukuaji wa uchumi , Nikiwa kama mdau ambaye nimefanya kazi viwandani nathibitisha hilo kuwa viwanda vinatoa ajira kwa watanzania wengi. Pamoja na umuhimu huo, Kwa muda ambao nimefanya kazi viwandani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…