Kazi nzuri ya Gado katika katuni Rais Samia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,235
103,880
IMG-20230701-WA0013.jpg

Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
 
View attachment 2675264

Samia kazungukwa na majizi nayeye kawa mwizi..

Mwanaye anajijenga huko mbele vibaya mno!!
 
Walio paswa kupaza sauti na kupinga kwa niaba ya taifa na wananchi wake, tayari mama amewatia mfukoni.
Hayupo wa kufurukuta wala kulipinga swala zima ni mwendo wa kudunda..😂😂
 
Kiufupi kwa katuni hiyo kapewa pesa na ku sign mkataba then warabu wana gonga glass wengine wapo mfukoni hawama la kusema
Kiufupi kwamba tumeuzwana pesa zipo kwenye begi
 
Kuiba muhimu,ila je watanzania Wana khofu ya Samia kama walivyokuwa na khofu Kwa JPM!!?
Magufuli walikuwa wanamuogopa ndio maana alijifanyia atakavyo huku majority ya Watanzania walikuwa kimyaaa...haha nimejaribu kuichunguza hii tabia nikafikia kusema labda inatokana na historia yetu ya utumwa na ukoloni.

Tunampenda mtu anayetukandamiza WHY?!

As Tanzanians We are very weak mentally.
 
Wakenya kumbe kweli wako behind ya haya makelele
Lord denning
Kenya ni muhujumu mkubwa wa maendeleo ya Tanzania. Vuta picha swala la Loliondo, bomba la gesi kati ya Tanzania na Uganda, bandari nk.

Ila bahati nzuri viongozi wetu wameshawajua hivyo huendelea na mipango yao ya kimaendeleo bila kujali hujuma zao na za vibaraka wao.
 
Wahujumu uchumi wa tanganyika ni ccm unawasingizia wakenya
 
Mbowe yupo mfukoni lakini anaongea (This is a Crooked Deal) Media ipo mfukoni; inaonyesha marithiano au The Crooked Deal ?!!! Na aliyepo begani anashangilia au ni cheerleader anapiga propaganda !!!! Binafsi aliyepo begani ni either anabebwa / ingawa realistically nadhani yupo mfukoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom