Natafuta kazi yoyote ili niweze kujipatia kipato

complexi

Member
Jul 6, 2021
67
82
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye miaka 25 nipo Shinyanga, level yangu ya elimu ni shahada ya awali ya elimu katika masomo ya geographia na historiaa. Natafuta kazi yoyote ili niweze jipatia kipato iwe ndani ya nilichosomea au nje ya kada yangu maana uzoefu nilionao nimewahi fanya kazi katika microfincance kama afisa mikopo pia ninauzoefu kidogo katika mauzo.

Hivyo naomba msaada wenu wana-JF

Mawasiliano: 0752641318
 
Sidhani kama chuoni ulitoka bila bila.

Mtaani wanakutegemea wewe ndiyo uwaletee ajira, tafadhari usiwaangushe.
 
..mbali na hizo white colour jobs za microfinance na marketing ,jaribu ku hasto' ..mfano jifunze kunyoa ,tengenezq branding Yako ( wewe ni Msomi) unanielewa ..tafuta wateja majumbani,mashuleni ( watoto watajisikia Raha sana kunyolewa na Msomi) Barber s wengi haajitambui...kafanye tofauti; utakuja kunikumbuka ! Kila la Heri!
 
asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom