kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma akikaa kituo kimoja anazoe kazi

    Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na wananchi). Afisa Mtendaji Kata au Kijiji au Mtaa n.k akikaa kituo kimoja kwa muda mrefu ufanisi wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania KWELI Kovu la begani ni ishara Muhimu ya kutambua ufanisi wa chanjo ya Kifua Kikuu

    Wakuu, Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha chanjo iligoma kufanya kazi au? Hii ni kweli, au maneno tu ya mtaani? Maana sioni kabisa uhusiano...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

    VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6. Wadhamini wanatakiwa watatu. ZINGATIA Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Malumbano kuhusu bandari na uwekezaji utakaofanywa na DP yametosha. Tufunge mjadala, tuchape kazi

    Tuchapeni kazi, serekali yetu sikivu imesikia inafanyia kazi kwa umakini mkubwa maoni yote. Tufunge sasa mjadala huu imetosha, tunachelewa sana kwa mijadala isiyokwisha na ambayo pengine inaweza kuhatarisha Utaifa na umoja wetu watanzania kwani hata maadui wa Taifa wanaweza kupitia mlango huu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Houseboy

    Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote. Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss). Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu. Hivyo naomba yoyote aliye tayari...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  8. carnage21

    JamiiForums Tanzania Kazi na sala: Bruno Gomes wa Singida Fountain atoa mafunzo ya dini

    𝙆𝘼𝙕𝙄 𝙉𝘼 𝙎𝘼𝙇𝘼 🙏🏿 Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes 🇧🇷 amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil 🇧🇷. Hongera sana @bruno_barroso97 🤝
  9. uran

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    Nawasalimu, Twende kwenye mada. Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back. Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi. Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

    ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
  11. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  12. ephen_

    JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kazi ya ufundi cherehani (tailors)

    Habari yenu wakuu! Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu. Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
  14. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Blog za kisasa pamoja na YouTube Channels. Malipo ni baada ya kazi

    Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi; 1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com) 2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake...
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa Calculus: Kazi bado inaendelea

    Mnaweza kukuta mnapitia baadhi ya maswali ambayo yalishakamilika kwenye attachment hizo hapo chini Pia yapo majibu ya maswali yote yaliyowahi kutajwa kwenye post hii hapa chini https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-yule-aliyewahi-kutoa-maswali-haya-ya-hesabu-calculus.1463245/#post-44686544...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kusema. Ninatafuta kijana awe wa kike au Wakiume aliyesomea mambo ya Management Kwa ngazi ya Shahada. 1. Awe na uzoefu walau Mwaka mmoja. 2. Elimu kuanzia Shahada moja. 3. Ajue kuongoza na kusimamia Watu. 4. Awe Dar es salaam Mahali; Dar es salaam Mshahara...
  18. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  19. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe asimamishwa kazi kupisha Uchunguzi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe (DED) mkoani Kigoma, Essau Ngoloka kupisha uchunguzi. Mkurugenzi huyo amesimamishwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu, Makamu wa Rais, Dk...
Back
Top Bottom