kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Usiku kama mchana tu, mnaopiga kazi usiku kulijenga taifa pokeeni maua yenu

    Wale ambao usiku hatulali kama popo ambao kwetu usiku ni kama mchana tu tujuane hapa, Mimi napiga mishe zangu usiku yaani full kuingiza maokoto, wakati wengine wamelala mie napiga mzigo huku naperuzi zangu Jamiiforums inipe kampani. Njoo tupige stori kuusindikiza usiku wetu
  2. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi Bora: Kazi ya Moyo Inayogusa Roho za Watu na Kuendeleza Taifa

    UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
  3. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  4. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais. Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  8. kipara01

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

    Habari wana JF, natafuta kazi. Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA. Umri: Miaka 25 Experience: 1 year Jinsia: Me Mkoa: Mbeya Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Watendaji wa CCM Peramiho

    WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WATENDAJI WA CHAMA (CCM) PERAMIHO Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho wamehimizwa Kuendelea kushirikiana katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuhakikisha Miradi ya maendeleo inafanikiwa na kutoa huduma sawa sawa kwa...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

    Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo. Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia uwavutia wapenzi wao pale wanapokuwa au wanapohitaji kuwa kwenye mahusiano. Mara nyingi warembo...
  12. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Kama tungekuwa tunakemea mafisadi na viongozi wabovu kama tunavyowashughulikia mafundi wanaovurunda kazi tunazowapa, Tanzania ingekuwa wapi leo?

    Wabari wakuu, Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77. Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk halafu fundi akazingua, tuseme kazi ilikuwa ya wiki mbili, siku ya kukabidhi fundi hajafanya chochote...
  13. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi NSSF Tawi la pale millenium tower au mwenye mtu yupo pale

    Habari Kuna mwenye connection na mtu wa NSSF pale Tawi la millenium tower, Makumbusho? Nicheki PM.
  14. African Geek

    JamiiForums Tanzania Faida zipi na hasara zipi anaweza kukumbana nazo mtu mwenye fani nyingi na mtu mwenye fani moja

    Akili ya binadamu ina uwezo mkubwa wa kujifunza mambo, japokuwa kuna wanaoziruhusu akili zao kujifunza vitu vingi au fani nyingi. Watu wengi hupendelea kujifunza fani moja, kisha wasiendelee kujifunza fani nyingine tofauti na fani waliyokuwa nayo awali. Hii ina faida zake na hasara zake. Pia...
  15. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu wenye akili duniani, anaingiza billioni 4.8 kwa mwezi kwa kazi ya kulala

    Mrembo Kaitlyn Siragusa maarufu kama Amouranth ni moja ya watu maarufu duniani wanaoingiza pesa nyingi bila kutumia nguvu. Ana followers milioni 3.7 twitter na subcribers milioni 6.4 kupitia mtandao wa Twitch na subcribers laki 9 youtube, anaingiza dola milioni 2 kila mwezi sawa na Tsh bilioni...
  17. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kutokana na changamoto ninazopitia ofisini ninapofanyia kazi

    Nina kama week mbili tangu nianze kazi ila kuna changamoto ninapitia hapa 1. Changamoto ya kwanza kuna supervisor full time kunifanyia visa mara kila saa natishiwa kufukuzwa kazi 2. Work mate niliokutana nao ofisini hawanipi ushirikiano vitu vingi vya msingi hawanielekezi 3. Upande wa boss...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Aloyce Nyanda wa Star TV huenda akafutwa kazi kwa shinikizo la wakubwa

    Duru za kweli kabisa zinatabanaisha bwana Aloyce Nyanda, mtangazaji wa kituo cha runinga Star TV, huenda akafutwa kazi kwa kile kinachodaiwa " hayupo upande wa wakubwa." Nukuu ya chanzo; Jamaa kibarua ki shakani sana, maana hata boss kapigiwa simu kibao akilalamikiwa kuhusu yeye kuendesha...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
Back
Top Bottom