Nafasi ya kazi: Nurse/Medical Assistant

Jul 30, 2022
17
19
Hello kwema?

Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika.

Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam.

Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza.

Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara maelewano.

Nipigie/wasap no - 0653971812.
 
Darlin, Lenie, Ms eyes, Aaliyyah hamja somea nursing 🤔🤒
Hello kwema?

Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika.

Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam.

Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza.

Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara maelewano.

Nipigie/wasap no - 0653971812.
Madaktari tunaruhusiwa kuifanya hii role ya nurse kama part time!?
 
Sema ndo hivyo nina wivu na yule mtoto sio poa kazi ya usiku itasumbua akili yangu wape wengine, ntafungua hospital yangu mwenyewe
 
Hello kwema?

Natafuta Nurse/Medical Assistant awe amekamilika vyeti vya taaluma husika.

Eneo la kazi ni Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi Dar es Salaam.

Awe tayari kufanya kazi shift za usiku, akiwa maeneo karibu na hayo itapendeza.

Akiwa tayari hata leo aje aanze kazi, mshahara maelewano.

Nipigie/wasap no - 0653971812.

Acha uhuni na janjanja, yani mshahara maelewano kwani hujui salary scale za Nurses na Medical assistant?

Au unadhani hizo ni nafasi za house girl kutoka mafinga? Please be professional na sio kutaka kutumia vijana vibaya kisa wana shida na kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom