Natafuta kazi yoyote halali

akili kidogo

Member
Jun 23, 2023
5
5
Poleni na mihangaiko ya siku nzima Wakubwa zangu kwa Wadogo zangu.,

Kama mada inavyojieleza natafuta kazi yoyote halali ambayo inaweza kunikwamua kwenye hii hali mbaya niliyonayo ya kiuchumi maana nimekuja kujikuta nina msongo mkubwa wa mawazo.

Sifa zangu:
Mtahiniwa wa mitihani ya ATEC 2(Hapa ndio pananitoa jasho maana mpaka muda huu sijui kama nitafanya mtihani au nitaruka kama mwezi wa 5 maana mda unaenda speed na somo moja kulilipia ni gharama sana)

Nina transcript ya ATEC 1 Inayotolewa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi Tanzania(NBAA)

Kwa sasa nimejishikiza kwenye kusajili line ila bado naona kabisa siwezi kujikwamua maana kipato kinachopatikana ni kidogo kinaishia kwenye kodi na kula tu wakati bado nina moyo wa kuendelea kusoma nifike mbali zaidi.

Makazi yangu kwa sasa yapo Moshi.

Naamini mtanisaidia hata kwa mawazo namna ya kuvuka huu mtihani.
 
kUNA KAZI YA KUFUNDISHS KAMA UPO TYARI 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom