Mtazamo wangu: Dhuluma na Uonevu dhidi ya Kazi ya Ualimu Secondary na Primary schools ni laana juu elimu Tanzania

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,100
Wasalaam,

Walimu kwenye mashule ya umma yote sekondary na primary schools licha ya maslahi duni pia hawana amani, hawaheshimiki, kila boss wao ni Mfalme na Malkia, wanadhulimiwa sana, wanaonewa, elimu inapata ongezeko la laana kila siku.

Walimu na elimu vinahitaji good governance. Dictatorship imetawala sana, mioyo ya walimu imesusa, ina hasira na imekata tamaa, mashuleni tuna walimu mfu wanaoishi na kufanya kazi wakinyanyaswa sana kila siku na hawana furaha na kazi yao

Hii ndio Tanzania ambayo lugha ya mwingi mwingi imetawala.

Mungu awalinde na kuwatia nguvu walimu.

Sitawasahau walimu wa secondary na primary schools popote pale nitawalipa mema.
 
Back
Top Bottom