Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
7,621
16,700
Hellow Wana JF.

Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.

Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa zamani wa simba 2020.

TULIONDOKA SIMBA KWA SABABU.

1. UWEKEZAJI WA UONGO
2. UONGOZI MBOVU.
3. WACHEZAJI MAGALASA.

MAMBO AMBAYO NILIPENDEKEZA KWA UONGOZI NA BENCHI LA UFUNDI WAYAFANYIE KAZI NA HAWAJAYAFANYIA KAZI.

1: Kuwabakisha Kakolanya na Onyango.

2: Niliwashauri Simba Wasajili beki kama Yao Yao Beki wa kuwachallange Kapombe na Shabalala pande zote mbili.
Beki anayecheza kulia na kushoto.

3: Nilishauri kuwa na Mabeki 3 wa KIMATAIFA WA kati.
🧧Inonga.
🧧Malone
🧧Onyango

5 : Kusajili Viungo wawili 6,8.
Nilipendekeza Simba ISAJILI kati ya Bangala au efoe Novon kwenye eneo la Kiungo mkabaji CDM 6...

Pia nilipendekeza Simba Kusajili kiungo No 8.
Kiungo kariba ya Aucho Akicheza 8
Kiongozi mpambanaji BOX TO BOX

6: pia nilipendekeza WASAJILI mshambuliaji mmoja mrefu 9 mwenye uwezo Mkubwa WA kumchallange Baleke.

MSIMU WA USAJILI NIKASHANGAZWA SANA NA USAJILI UNAOFANYIKA SIMBA.
USAJILI WOTE HAUENDANI NA FALSAFA YA SIMBA LUNYASI.

.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Peter Banda.)
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI

Alex FERGASON ALIPATA kuwahi kusema
Safi Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.

SIMBA WAMEPUUZA MAONI YANGU
MASHABIKI NA WANACHAMA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
KIUFUNDI SIMBA IPO HOVYO SANA. ILIAMUA KUSAJILI MAJINA NA SI WACHEZAJI.

SIKUONA SABABU ZOZOTE ZA MAANA ZA KUSAJILI.
1. GOLIKIPA AYOUB.
2. ESSOMBA ONANA
3. LUIS MIQUISSONE.
4. AUBIN KRAMO.
5. MOSES PHILI.
6. SADIO KANUTE.
7. SAIDO NTIBAZONKIZA

Maeneo nyeti niliyowashauri WAYAFANYIE KAZI hawajayafanyia kazi.

N:B.
Simba Ina zaidi ya MICHEZO 60 MSIMU
🧧LIGI KUU MICHEZO 30.
🧧AZAM FEDERATION 6
🧧MPINDUZI +NGAO 6
🧧MECHI ZA KIRAFIKI. 6
🧧CAF CL. 6
🧧SUPER LEAGUE. 6.

MATOKEO yake.
🧧Inonga na Malone WANATAKIWA wacheze MICHEZO yote 60
Bila ADHABU Wala Majeraha.
🧧. Kapombe na shabala WANATAKIWA wacheze MICHEZO 60.
🧧Mzamiru Mgoma na kanute MICHEZO 60

NB: ANGALIZO:
NAOMBA UZI WANGU UCHANGIWE NA WATU WENYE UWEZO MPANA KIMAWAZO NA KIFIKRA NA SI VILAZA NA WAJINGA.
 
Eti ulishauri Simba isajili beki kama Yao Yao, huyo Yao Yao kabla ya kuja Yanga hakuna mwanasimba yeyote aliyemuona wa maana. Ila jicho la Yanga ndio linakufanya uje kutamba kama vile uliwahi kusema kabla ya kusajiliwa na Yanga
 
Hellow Wana JF.

Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.

Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na MSOMI WA UKOCHA.

MAMBO AMBAYO NILIPENDEKEZA KWA UONGOZI NA BENCHI LA UFUNDI WAYAFANYIE KAZI NA HAWAJAYAFANYIA KAZI.

1: Kuwabakisha Kakolanya na Onyango.

2: Niliwashauri Simba Wasajili beki kama Yao Yao Beki wa kuwachallange Kapombe na Shabalala pande zote mbili.
Beki anayecheza kulia na kushoto.

3: Nilishauri kuwa na Mabeki 3 wa KIMATAIFA WA kati.
Inonga.
Malone
Onyango

5 : Kusajili Viungo wawili 6,8.
Nilipendekeza Simba ISAJILI kati ya Bangala au efoe Novon kwenye eneo la Kiungo mkabaji CDM 6...
Pia nilipendekeza Simba Kusajili kiungo No 8.
Kiungo kariba ya Aucho Akicheza 8
Kiongozi mpambanaji CDM.

6: pia nilipendekeza WASAJILI mshambuliaji mmoja mrefu 9 mwenye uwezo Mkubwa WA kumchallange Baleke.

MSIMU WA USAJILI NIKASHANGAZWA SANA NA USAJILI UNAOFANYIKA SIMBA.
USAJILI WOTE HAUENDANI NA FALSAFA UYA SIMBA LUNYASI.

.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Peter Banda.)
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI

Alex FERGASON ALIPATA kuwahi kusema
Safi Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.

SIMBA WAMEPUUZA MAONI YANGU
MASHABIKI NA WANACHAMA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
KIUFUNDI SIMBA IPO HOVYO SANA. ILIAMUA KUSAJILI MAJINA NA SI WACHEZAJI.

SIKUONA SABABU ZOZOTE ZA MAANA ZA KUSAJILI.
1. GOLIKIPA AYOUB.
2. FABRICE NGOMA.
3. LUIS MIQUISSONE.
4. AUBIN KRAMO.
5. MOSES PHILI.
6. SADIO KANUTE.

Maeneo nyeti niliyowashauri WAYAFANYIE KAZI hawajayafanyia kazi.

N:B.
Simba Ina zaidi ya MICHEZO 60 MSIMU
LIGI KUU MICHEZO 30.
AZAM FEDERATION 6
MPINDUZI +NGAO 6
MECHI ZA KIRAFIKI. 6
CAF CL. 6
SUPER LEAGUE. 6.

MATOKEO yake.
Inonga na Malone WANATAKIWA wacheze MICHEZO yote 60
Bila ADHABU Wala Majeraha.
. Kapombe na shabala WANATAKIWA wacheze MICHEZO 60.
Mzamiru Mgoma na kanute MICHEZO 60

NGUVU mpya.
ACHA ITUUE.
wewe jamaa hao mawinga wamekukosea nini?
 
Eti ulishauri Simba isajili beki kama Yao Yao, huyo Yao Yao kabla ya kuja Yanga hakuna mwanasimba yeyote aliyemuona wa maana. Ila jicho la Yanga ndio linakufanya uje kutamba kama vile uliwahi kusema kabla ya kusajiliwa na Yanga

1. Nilimuona Yao Akicheza na Simba PAPE SACKHO ALIPOFUNGA GOLI BORA AFRCA. BEKI ALIYEKUWA ANAKABANA NA SACKHO ALIKUWA HAO. ASEC na Simba.

2. Nimeshauri beki aina ya Yao.
Beki ANAYEWEZA kucheza nafasi MBILI beki wa kushoto na kulia kwa UBORA ule ule.

Asante
 
Hellow Wana JF.

Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023.

Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na MSOMI WA UKOCHA.

MAMBO AMBAYO NILIPENDEKEZA KWA UONGOZI NA BENCHI LA UFUNDI WAYAFANYIE KAZI NA HAWAJAYAFANYIA KAZI.

1: Kuwabakisha Kakolanya na Onyango.

2: Niliwashauri Simba Wasajili beki kama Yao Yao Beki wa kuwachallange Kapombe na Shabalala pande zote mbili.
Beki anayecheza kulia na kushoto.

3: Nilishauri kuwa na Mabeki 3 wa KIMATAIFA WA kati.
🧧Inonga.
🧧Malone
🧧Onyango

5 : Kusajili Viungo wawili 6,8.
Nilipendekeza Simba ISAJILI kati ya Bangala au efoe Novon kwenye eneo la Kiungo mkabaji CDM 6...
Pia nilipendekeza Simba Kusajili kiungo No 8.
Kiungo kariba ya Aucho Akicheza 8
Kiongozi mpambanaji CDM.

6: pia nilipendekeza WASAJILI mshambuliaji mmoja mrefu 9 mwenye uwezo Mkubwa WA kumchallange Baleke.

MSIMU WA USAJILI NIKASHANGAZWA SANA NA USAJILI UNAOFANYIKA SIMBA.
USAJILI WOTE HAUENDANI NA FALSAFA UYA SIMBA LUNYASI.

.
UAJIULIZA ANAYEFANYA USAJILI WA HAWA MAWINGA ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
Zaidi ya mawinga 7

Mawinga. 2023
( 1. Peter Banda.)
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.

HAPA wenye uhakika ni 3 tu
7.Kibu
10.saido
11. Chama.

Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.

1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI

Alex FERGASON ALIPATA kuwahi kusema
Safi Bora ya Ushambuliaji itakupa MAGOLi safu Bora ya ulinzi itakupa Mataji.

SIMBA WAMEPUUZA MAONI YANGU
MASHABIKI NA WANACHAMA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
KIUFUNDI SIMBA IPO HOVYO SANA. ILIAMUA KUSAJILI MAJINA NA SI WACHEZAJI.

SIKUONA SABABU ZOZOTE ZA MAANA ZA KUSAJILI.
1. GOLIKIPA AYOUB.
2. FABRICE NGOMA.
3. LUIS MIQUISSONE.
4. AUBIN KRAMO.
5. MOSES PHILI.
6. SADIO KANUTE.

Maeneo nyeti niliyowashauri WAYAFANYIE KAZI hawajayafanyia kazi.

N:B.
Simba Ina zaidi ya MICHEZO 60 MSIMU
🧧LIGI KUU MICHEZO 30.
🧧AZAM FEDERATION 6
🧧MPINDUZI +NGAO 6
🧧MECHI ZA KIRAFIKI. 6
🧧CAF CL. 6
🧧SUPER LEAGUE. 6.

MATOKEO yake.
🧧Inonga na Malone WANATAKIWA wacheze MICHEZO yote 60
Bila ADHABU Wala Majeraha.
🧧. Kapombe na shabala WANATAKIWA wacheze MICHEZO 60.
🧧Mzamiru Mgoma na kanute MICHEZO 60

NGUVU mpya.
ACHA ITUUE.
Mkuu unapowaamini viongozi, waamini katika maamuzi yao pia. Naamini Simba ikifanya vizuri hautarudi kuja kuappreciate
 
Una point kuna baadhi ya mambo tunakubaliana kuna baadhi ya mambo tunatofautiana.
1.Mosi, kakolanya si aina ya kipa wa kukaa Simba, ana makosa mengi mno, mda wote roho mkononi.
2.Onyango angeweeza kubaki kama tu angekuwa muungwana, lakini Sivyo.
Yeye akilambwa Benchi mechi kadhaa anaomba kuondoka.
3. Sadio kanoute still ni mchezaji wa kucheza Simba, japo huwa anakuwa na moment mbaya ( Ana ubora wake na Udhaifu pia as a player).

Nnapokubaliana na wewe
Tulihitaji CDM na wala sio huyo Ngoma waliyemleta.
Tulihitaji mchezaji mwenye kariba ya Ntiba ila awe kijana.
Tulihitaji forwad ya maana.
Tulihitaji backup ya Zimbwe.
 
1. VIONGOZI WA Simba walioipa Mataji miaka minne HAWAPO Simba
1.magori, Mulamu, Senzo, MANARA, Swedi mkwabi nk.

2. VIONGOZI wengi waliopo sasa hawakuisaidia Simba kupata Mataji.

3. KIONGOZI BORA NI YULE ANAYEKUBAALI KUSIKILIZA MAONI NA MAWAZO MAPYA.

NISIKUFUCHE SIMBA HAIWEZI KUFANYA VIZURI KIUFUNDI TIMU YAO SI NZURI.
 
CDM ni kiungo namba 8? Unaelewa maana ya CDM? Au unataka kusema CDM ndo ukimaanisha CAM (central attacking mildfielder)

Mimi siwezi nikaamdika ANDIKO la kiufundi na Darasa kiasi HIKI nisijue

CDM
CAM
BOX TO BOX.

Nilikuwa nataka kumaanisha kiungo CAM au Box to box no 8.
Mwenye uwezo wa kukaba.
Kuelewa mchezo.
Kupiga pasi.
Kama Aucho .

Japo Aucho si Box to box ni CAM
Na Imani umenielewa.

Asante
 
Una point kuna baadhi ya mambo tunakubaliana kuna baadhi ya mambo tunatofautiana.
1.Mosi, kakolanya si aina ya kipa wa kukaa Simba, ana makosa mengi mno, mda wote roho mkononi.
2.Onyango angeweeza kubaki kama tu angekuwa muungwana, lakini Sivyo.
Yeye akilambwa Benchi mechi kadhaa anaomba kuondoka.
3. Sadio kanoute still ni mchezaji wa kucheza Simba, japo huwa anakuwa na moment mbaya ( Ana ubora wake na Udhaifu pia as a player).

Nnapokubaliana na wewe
Tulihitaji CDM na wala sio huyo Ngoma waliyemleta.
Tulihitaji mchezaji mwenye kariba ya Ntiba ila awe kijana.
Tulihitaji forwad ya maana.
Tulihitaji backup ya Zimbwe.

Sawa mtazamo mzuri.

Tukianzia kwa kakolanya.
1.Kakolanya ndiye Golikipa mzuri kuliko wote Tanzania, ila Bahati Mbaya kucheza yanga Amekuwa akishindwa kuaminiwa na Simba zaidi.

2. Kukaa Benchi kwa Muda mrefu nako kumechangia kiwango chake KUSHUKA.

Swali la kujiuliza Ally SALUM anauwezo kuliko kakolanya????

3. Kufika Mwezi Oktoba Manura atakuwa Fiti kwa asilimia 100.
Je huyo AYOUB amesajiliwa kwa LENGO Gani???
HUYO Abel amesajiliwa kwa LENGO Gani.?
Kuondoka kwa kakolanya kumesababisha Simba Kusajili magolikipa 5.

ALIONDOKA chama na MIQUISSONE Simba wakaenda Kusajili wachezaji 10.
 
Simba Bado inasajili kugurahisha shabiki Kwa kusajiko jina.
Ukiangalia team kubwa zimeshatoka kwenye mtego huo wa kufurahisha shabiki.

Mfano yanga wakati wanasajili ilionekana wazi kama wanaokoteza na wanasajili hovyohovyo kias mashabaki wakawa hawana imani na yanga ila tunachizidi kukiona ni uwezo mzuri Kwa waliosajiliwa.

Wakati Drogba anasajiliwa Chelsea alikua hajukikani na USAJILI wake uliwahuzunisha sana mashabiki kiasi Cha kiangusha lawama Kwa kocha, na wachambuzi uchwara walikuja juu, Drogba alionyeshaa majibu haswa hadi Leo ni mchezaji wa muda wote pale blues.

SIMBA ITOKE SASA KWENYE MCHEZO WA KUFURAHISHA SHABIKI, NA SHABIKI ATAFURAHI TU MDA UKIFIKA.
 
Sawa mtazamo mzuri.

Tukianzia kwa kakolanya.
1.Kakolanya ndiye Golikipa mzuri kuliko wote Tanzania, ila Bahati Mbaya kucheza yanga Amekuwa akishindwa kuaminiwa na Simba zaidi.

2. Kukaa Benchi kwa Muda mrefu nako kumechangia kiwango chake KUSHUKA.

Swali la kujiuliza Ally SALUM anauwezo kuliko kakolanya????

3. Kufika Mwezi Oktoba Manura atakuwa Fiti kwa asilimia 100.
Je huyo AYOUB amesajiliwa kwa LENGO Gani???
HUYO Abel amesajiliwa kwa LENGO Gani.?
Kuondoka kwa kakolanya kumesababisha Simba Kusajili magolikipa 5.

ALIONDOKA chama na MIQUISSONE Simba wakaenda Kusajili wachezaji 10.
Kakolonya si aina ya kipa wa kuwepo Simba.
Anatengeneza second balls nyingi ( uwezo wake wa kuficha mashuti ni mdogo, hivyo anayatema).
Makipa wa tano?
Unamhesabu na ferouz? Yupo pale kutrain tu na wala sio kucheza labda kocha Aamue vinginevyo.
Ameondoka kakolanya na Simba imesajili makipa wawili si watano ( kwani wengine walikuwepo).
 
1. Nilimuona Yao Akicheza na Simba PAPE SACKHO ALIPOFUNGA GOLI BORA AFRCA. BEKI ALIYEKUWA ANAKABANA NA SACKHO ALIKUWA HAO. ASEC na Simba.

2. Nimeshauri beki aina ya Yao.
Beki ANAYEWEZA kucheza nafasi MBILI beki wa kushoto na kulia kwa UBORA ule ule.

Asante
Weka hapa link ni wapi umependekeza Yao kusajiliwa na Simba. Hakuna aliyemjua Yao zaidi ya jicho la kamati ya usajili wa Yanga. Na hata baada ya Yanga kumtangaza Yao watu wa Simba mkaponda na kuonesha goli alilofunga Sakho huku Yao akiwepo. Na mlimwita garasa. Leo kaja Yanga kila mmoja anajifanya ana jicho kama walilokuwa kamati ya usajili wa Yanga.
 
Mtoa Uzi kumbuka kwamba Ushauri/Mapendekezo sio lazima yakubaliwe..kama vipi fuata Ushauri wa Mawawa

Naomunga mkono HOJA

1. LENGO la Uzi si kulazimisha maoni YANGU kupokelewa.

2. LENGO la Uzi ni kujua aina ya VIONGOZI waliopo Simba
na KUWAAMBIA mashabiki na Wana JF kujua ukweli.

3. Pia nimewaambia wajiandae kisaikolojia.
Huenda yakatukuta yaliyotukuta kwa Kwaneng galaxy na UD songo.
 
1. Nilimuona Yao Akicheza na Simba PAPE SACKHO ALIPOFUNGA GOLI BORA AFRCA. BEKI ALIYEKUWA ANAKABANA NA SACKHO ALIKUWA HAO. ASEC na Simba.

2. Nimeshauri beki aina ya Yao.
Beki ANAYEWEZA kucheza nafasi MBILI beki wa kushoto na kulia kwa UBORA ule ule.

Asante
Weka hapa link ni wapi umependekeza Yao kusajiliwa na Simba. Hakuna aliyemjua Yao zaidi ya jicho la kamati ya usajili wa Yanga. Na hata baada ya Yanga kumtangaza Yao watu wa Simba mkaponda na kuonesha goli alilofunga Sakho huku Yao akiwepo. Na mlimwita garasa. Leo kaja Yanga kila mmoja anajifanya ana jicho kama walilokuwa kamati ya usajili wa Yanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom