AY 5225

JF-Expert Member
Jul 16, 2023
484
1,135
Heshima yenu wakuu.

After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.

Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?

Stay blessed.
 
Vibarua hasa kwenye ujenzi

Tanzania kuna sehemu mbili.ngumu sana kupata vibarua wa.kutosha kwenye maeneo ya ujenzi wenyeji hawataki hizo kazi za ukibarua hata wawe maskini vipi

Maeneo hayo ni sehemu mbili Zanzibar na Dodoma na Zanzibar, wazanzibari hawataki ukibarua na Dodoma wagogo hawataki

Shida mno kupata vibarua maeneo hayo

Ukitaka nenda jengo lolote ukiona linajengwa nenda asubuhi sana wakiingia omba kibarua utapata chap chap

Cha msingi chapa kazi na kesho urudi utafanya hadi uchoke

Dodoma ukipata vibarua wenyeji wagogo yaani waweza wapiga nondo kwa hasira wavivu hao na nadira kuwapata kibao..watashukuru wakipata asiye mgogo

Na Zanzibar watashukuru wakipata mtu wa bara kibarua wa ujenzi sio kibarua mzanzibari wamejaa u yakhe mwingi na hawataki in short kazi za ukibarua.
 
Vibarua hasa kwenye ujenzi

Tanzania kuna sehemu mbili.ngumu sana kupata vibarua wa.kutosha kwenye maeneo ya ujenzi wenyeji hawataki hizo kazi za ukibarua hata wawe maskini vipi

Maeneo hayo ni sehemu mbili Zanzibar na Dodoma. Zanzibar wazanzibari hawataki ukibarua na Dodoma wagogo hawataki

Shida mno kupata vibarua maeneo hayo

Ukitaka nenda jengo lolote ukiona linajengwa nenda asubuhi sana wakiingia omba kibarua utapata chap chap

Cha msingi chapa kazi na kesho urudi utafanya hadi uchoke

Dodoma ukipata yaani waweza wapiga nondo kwa hasira wavivu hao na mihadira kibao..watashukuru wakipata asiye mgogo

Na Zanzibar watashukuru wakipata mtu wa bara kibarua

Ndilo wazo nililokuwa nalo kichwani mkuu. Asante sana kwa comment yako.
 
1.Kubeba mizigo bandarini
2.Kulima mashamba
3.Saidia fundi ktk ujenzi
4.Miradi ya Barabara
5.Uvuvi kama bahari unaiweza

Mkuu mimi naenda nikiwa sijui nitalala wapi wala nitakula nini hivyo nahitaji kujua maeneo ya moja kwa moja ambayo ni uhakika kupata nafasi. Ukitoa number 1, options zote ulizo ainisha ni jumuishi sana.

Shukrani sana kwa time yako though.
 
Heshima yenu wakuu.

After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.

Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?

Stay blessed.
Maisha ni kutafuta wakati wazenji wanawaza kuja dar kupata ajira huku mtu wa dar anawaza kuja zenji

Anyway nenda sehemu zenye bahari kama nungwi,paje,jambiani n.k ukatafute ajira huko

Karibu Zenji
 
Mkuu mpokee ndugu yako
 
Maisha ni kutafuta wakati wazenji wanawaza kuja dar kupata ajira huku mtu wa dar anawaza kuja zenji

Anyway nenda sehemu zenye bahari kama nungwi,paje,jambiani n.k ukatafute ajira huko

Karibu Zenji

Sawa bro, asante sana.
 
Kuna wale rafiki zangu hawachagui Kazi hawana Mishe yoyote ukiwapa direction wapi Kazi ilipo wanakwenda kufanya mladi Tu iwe ya Halali

Nna ujumbe wenu hapa

Kama uko dar fika mpaka Gongo la mboto mwisho opposite na chuo cha Kampala ukifika hapo uliza mtu akuelekeze kilipo kiwanda kinaitwa NAMELA

Hiki ni kiwanda cha nguo ndio hatua ya Kwanza kabisa ya uandaaji nguo kama mashuka..khanga..vitenge maduvet n.k ufanyika na Kisha baada ya hapo mzigo upelekwa NIDA pale bara bara ya Mandera kwa ajili ya ukamilishaji kuwa nguo kamili

Kwaiyo kijana yoyoye aliepo around Gongo la mboto Majohe au maeneo anayoweza kufika hapo NAMELA naomba kuanzia kesho asubuhi avae vizuri kwa heshima aweke nywele zake smart ata ukisimama mbele za watu unaonekana mwenye tabia njema sio unaenda kuomba Kazi umevaa modo uko nusu uchi au umenyoa viduku na unanuka sigara

Ukifika getini muulizie mtu mmoja anaitwa chifu na umwambie umekuja kuomba Kazi yoyote atakae taja jina Hili pale getini huyu mtu atajua Moja kwa Moja umetoka Kwangu so utapewa maelekezo kwa haraka

Kumbuka kubeba kitambulisho cha kupigia Kura au namba ya Nida

Cha kuzingatia unadhifu wako maana mwingine akifika getini anaambiwa hakuna kazi kutokana na alivyokwenda kumbuka kupendeza unapokwenda kuomba Kazi maana wewe ni masikini tuu sio kichaa
 
Ningekua upande huo ningefika hapo. Mimi nipo Iringa mkuu vipi kuna ambae unamjua ukanda huu anaweza kunipa kazi?
 
Back
Top Bottom