Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu

Delc

Member
May 26, 2023
34
49
Hello guys.

Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi:

1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa.

2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii.

Eneo ni Dar es salaam- Kigamboni- Kisarawe 2.

NB: Kuhusu mshahara tutaelewana akijitokeza.

Asanteni.
 
Hello guys.
Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi.
1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa.
2. Awe tayari kufanya kazi kwa bidii.
Eneo ni Dar es salaam- kigamboni-kisarawe 2.
Nb. Kuhusu mshahara tutaelewana akijitokeza.
Asanteni.
Wek namb yako
 
Hello guys.

Natafuta kijana wa kuuza duka la dawa za binadamu awe na zifa hizi:

1. Mwenye cheti cha Ado na umiliki wa duka la dawa...
Mnatafuta watanyakazi wa maduka ya wanyama ikiwa mtu Hana uzoefu wowote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom