kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kazi zipo ila wafanyakazi wenye sifa sahihi za uzalishaji kwa vitendo ndio hakuna

    Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa mauzo/faida. Mfano: Kiwanda X kinazalisha baiskeli 1000 kwa siku, na ili kiwanda X kiendelee kuzalisha na...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Karibu kikosi kazi Cha injili MBEYA kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile:siku moja tuwaone Hawa wapambanaji

  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma: Sakata la kazi visiwani, Wazanzibari ni wavivu!

    Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar. Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari. Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili. Mnasemaji wajameni
  4. Bongo Tech Giant

    JamiiForums Tanzania Fursa za Kazi za Remote (Mtandaoni) kwa Wataalamu wa IT, Biashara na Anga: Jiunge na Alignerr ($30 - $100+/hr)

    Habari wakuu, Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Itusaidie Kuboresha Mazingira ya Kazi kwa Mtumishi wa Hospitali ya Vijibweni - Kigamboni

    Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo tunaamini yamekuwa magumu kwa muda mrefu. Changamoto...
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Unakutana na changamoto gani katika biashara / kazi inayoifanya sasa?

    Unazimudu na kuzitatua vipi? 🤔
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi/Maofisa Serikalini muwe serious na kazi!!

    Kibosile wa Mamlaka ya Mbegu " akikagaua" mbegu huko Arusha. Jamani tuwe serious na kazi. Mtu anakagua kavaa suti ya ofisini Viatu si vya kwendea shambani Tai juu Mkononi simu Kwa watu tulio sekta za Field tunajua ukaguzi wa kina unahitaji nguo za Field, zinazoendana na hali hiyo. Hapo kama si...
  9. papag

    JamiiForums Tanzania Kazi kweli kweliii!

    Na mbado sana mleu
  10. W Mallya

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana walimu vituo vya kazi msingi

    Ndugu Admin, Napenda kuwataarifu kuwa nimerudi tena katika kundi letu. Naomba tuendelee kuzingatia lengo letu kuu la uhamisho. Aidha, natafuta mwalimu wa kubadilishana vituo vya kazi aje KONDOA DC Mimi nije katika idara ya elimu ya msingi, hususan katika wilaya za Morogoro:🔴 GAIRO🔴 KILOSA🔴...
  11. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  13. ibrahim143

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa usiku

    NAOMBENI KAZI KWA NYAKATI ZA USIKU
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ukonda

    Habari Wana jukwaa kwa majina naitwa Abdallah Bakari Niko kisemvule pwani ninatafuta kazi ya ukonda wa daladala au Lori au kazi yeyote ya halali elimu yangu ni kidato Cha nne. Ninaomba jamani msaada WENU najua hili ni jukwa kubwa SANA. Ahsanteni Namba zangu 0636728757
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimeota nafanya kazi ya kujitolea ya kusafisha mitaro

    Kama mada inavojieleza hapo juu nimeota nasafisha mitaro ya barabarani Ila wapita njia walikuwa wananipa moyo na kunifariji kuwa hivi karibuni naweza kupata tuzo au faida kubwa kwa kazi hiyo ya kujitolea. Mimi pia nilikuwa naifurahia kwani nilifanya kwa bidii pia juzi kama siku tatu zimepita...
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

    Kuna swali huwa ninalojiuliza sana peke yangu, naomba nishare hapa Utasikia watu wakisema ulimwengu wa roho, ulimwengu wa siri. Hivi huo ulimwengu huwa ni upi? Je, mambo ya ulimwengu wa roho au ulimwengu wa siri huwa ni pamoja na ndoto tunazoota usiku au mchana? Au tuseme ndoto huwa ni dunia...
  17. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

    Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
  18. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hamna kazi ya mwanadami isiyo na kasoro

    Hakuna kazi ya mwanadamu isiyo na kasoro (inayokamilika kwa asilimia mia moja). Kasoro ni matokeo ya asili yetu ya kibinadamu ya kutokamilika, uchovu, na mipaka ya ufahamu wetu. Hata hivyo, ukweli huu unapaswa kuwa daraja la kujifunzia badala ya chanzo cha kukata tamaa. Unaweza kuangalia...
  20. Madame S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dada wa kazi

    Hello! kama uko na mtu anahitaji kaz za ndan naomba nicheki, location ni pemba,
Back
Top Bottom