Kijana anatafuta kazi yoyote ile

Kijana anatafuta kazi yoyote ile

Mributz

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
292
Reaction score
656
Anaitwa mohammed
Anaishi mbagala mbande
Anatafuta kazi ya aina yoyote ile yupo tiyali
Kwa jinsi alivyonielezea shida zake nkaona vyema kumleta hapa jamvini
Namba ya 0693 166 490
 
Simu ziite jamani
Kuna mtu alinipigia simu niliweka charge
Serious?

Kwamba simu iliita ikiwa chaji, badala ya kumpigia huyo aliyekupigia, ww unakuja kuandika huku apige tena mana simu ilikuwa chaji?

Serious?

Hapana mm nimemskiliza kijana ana shida ana simu ndogo
Ivyo nimemsaidia kumpazia sauti
Kuna ubaya
Kijana anataka kaz yyte
Kwamba simu ikiwa ndogo hawezi kupokea simu?

Serious?

Mbona kama ww ndo unamuharibia huyo dogo.
 
Back
Top Bottom