kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

    Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida ''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naombeni Dawa ya Kuisahau hii Kauli inayokataa kabisa kutoka Ubongoni mwangu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    'Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. John Pombe Joseph Magufuli yuko mzima wa Afya anachapa kabisa Kazi na nimetoka Kuzungumza nae'', Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kassim.
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbunge Mnyeti mnaitafsirije?

    Hii kauli mbona kama vile inazidi kutuchafua huwenda alikua na mawazo mazuri lakino uwasilishaji umekua mbovu
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumjua Mwanamke 'aliyechezewa' Kimahusiano na Wanaume na amewachoka, hizi ndizo kauli zao

    1. Siku hizi kuna Wanaume kwani? 2. Sina hata haja na Wanaume. 3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu. 4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu. 5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila sitaki Kukaa nae. 6. Wanaume ni Waongo sana. 7. Wanaume wa Siku hizi ni Wabahili kweli kweli.
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zile kauli za kihuni za Manara kwa CEO Barbara zimejibu

    Anaandika Meneja Ahmed Ally Nilitegemea hili na wasingejitoa ningeshangaa sana! Wakati wanaianza safari ya NANI ZAIDI hawakua na dira wala muelekeo Waliingia kichwa kichwa pengine walitaka kuwaridisha wadhamini Azam Tv lakini ukweli ni kwamba walikua hawajui wanafanya kitu gani Sababu zozote...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kauli ya "Tutafute Pesa" Ipuuzwe; Kwa Hatma njema Mtafute Mungu wako.

    IPUUZE KAULI YA "TUTAFUTE PESA" KWA HATMA ILIYONJEMA BASI MTAFUTE MUNGU WAKO. Anaandika, Robert Heriel Yule Shahidi! Andiko hili lisomwe na Vijana wote. Usiwe mtumwa wa Pesa. Usiihusudu hata Kama unaambiwa ni tamu. Kamwe usije kujidanganya. Hakuna Raha yoyote ya kuwa na pesa kama huna Mungu...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Oleshangai: Wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana. Wanatibiwa nchini Kenya

    Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro. Wananchi hao wanapatiwa huduma nchi ya jirani ya Kenya baada ya kunyimwa huduma zahanati ya Osero kata ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania MONGELA: Kauli ya Waziri Mkuu ilitoka kabla ya Vurugu kutokea Loliondo

    TAARIFA ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU KAULI YA WAZIRI MKUU KUHUSU LOLIONDO ZAKUPUUZWA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mongella amesema tuendelee kuwapuuza wale wote wanaopotosha kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu sakata la Loliondo "Kauli ya Waziri Mkuu...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi Kauli ya Spika na Mkuu wa Mkoa ukiunganisha na tukio zima,Kipi tuamini Mgogoro toka zamani upo au umeibuka saivi?

    Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa, Nani...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro - Loliondo: Askari Polisi amekufa baada ya kupigwa Mshale mmoja tu, RC Mongella amlilia

    Askari Polisi mmoja ameuawa kwa kupigwa mshale wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa zoezi la uwekaji mpaka katika eneo la pori tengefu kwenye Tarafa ya Loliondo. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akisema kwamba kifo hicho kilitokea Juni 10 alasiri, na...
  12. LegalGentleman

    JamiiForums Tanzania Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya kauli ya Serikali kututaka turudi, mimi na wenzangu tunajiandaa kurudi

    Salaam Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV "Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke lakini pia wanasahau kuigeuza hii kauli

    Habari wanajf Nina ndugu yangu wa kike aliolewa na jamaa mmoja hivi kutoka kabila la lile la wapenda sifa na wote wameingia kwenye ndoa wakiwa wote Wana hela lakini mwanaume ndio ana hela zaidi, kiukweli ndoa yao ilidumu ingawa kwenye ndoa hapakosi changamoto lakini ndugu yangu wa kike...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania "Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

    Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kuhusu Sensa ni vyema ingefanyiwa kazi

    Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba ngoma ambae huvutia kamba upande wake . Kuna watumishi wa umma ambao wanajiona wao ni bora sana kiasi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Hii kauli " Rais kaleta hiki kafanya hiki" husemwa hata kwa wenzetu au ni hapa tu?

    Huwa nakerwa sana na mtindo wa wanasiasa kumpamba na kumsifia rais kwa maendeleo yanayofanywa na serikali. Kwa uelewa wangu, jambo lolote la kimaendeleo hufanywa na serikali Kwa wananchi kutumia kodi zao kwa niaba yao. Hii ni sawa na kusema una hela yako unatamani kula nyama kwa kuwa huna...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

    Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
  20. Peter Stephano 809

    JamiiForums Tanzania Kauli za Viongozi wa Tanzania Zinakera

    "Tozo za miamala na simu ziko palepale, ni Sheria ya bunge siwezi kuzifuta, anayeona hakuna unafuu ahamie Burundi" Hii ni kauli yenye kukumbukwa iliyotolewa na Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba tarehe 19, julai 2021 akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45. Maneno makali na ya kuudhi yaliyo...
Back
Top Bottom