Jon Mrema: Kauli fupi juu ya Mazungumzo ya Chadema na CCM.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
4CB6C2EC-6549-425D-A71D-89B99761ABF7.jpeg


Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.

E653F1DF-D713-4EB7-A8E9-0B6ED9A96A9F.jpeg
 
Chadema wawe makini na CCM katika mazungumzo hayo. Sidhani kama CCM wana nia njema juu ya mazungumzo hayo.
 
Wekeni ajenda mezani . hizo chai za Ikulu kila siku hazitusaidii wananchi
1. Upatikanaji wa katiba mpya.
2. Tume huru ya uchaguzi,
3. Zuio la mikutano ya hadhara.
4. Makovu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
5. Suala la wabunge 19 wa viti maalum.
6. Suala la ruzuku,
7. Usawa wa vyama vya siasa,
8. Watu waliochukuliwa hatua za kisheria kwa sababu za kisiasa.
9. Wakimbizi wa kisiasa waliokimbilia nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom