kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  2. Peter Stephano 809

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mfumuko wa Bei, Viongozi wachunge kauli

    "Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi. Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake. Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
  3. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

    Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya. “Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kauli zenye athari hasi za Rais samia

    Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia. Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli hiyo lita 3 ya mafuta ya kula ya sun flower inauzwa 25,000. Box ya ream paper inauzwa 80,000 na...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17.3.2025 inakaribia, watanzanisa tunasubiri kauli ya serikali kuhusu mpendwa wetu,

    Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

    Waungwana, Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela. Muda unatuambia sasa. Awali, hapa JF kulikuwa na hii thread - Kiongozi wa chama haelewani na yule kiongozi...
  13. Bikis

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro: Wamasai waishio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa Ngorongoro

    Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro. Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante sana Rais Samia kwa kuliponya Taifa. Umeonesha kwa kauli na matendo; tunajenga nyumba moja, hakuna sababu ya kugombea fito!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia. Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...
  15. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Kauli ya kwanza ya Mbowe baada ya kuachiwa huru

  16. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kumuamimi Tundu Lissu? Kauli zake huwa zina mkanganyiko kila mara

    Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri. Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
  18. Ikaria

    JamiiForums Tanzania DR Congo yakerwa na kauli ya William Ruto

    Ubalozi wa #Kenya nchini #DRC umelaani vikali 'kauli za dharau na kejeli' alizotoa Naibu Rais Williams Ruto kuhusu taifa la DRC. Baadhi ya raia wa DRC wameanza kususia bidhaa za Wakenya walioko jjjini Kinshasa. Naibu Rais William Ruto aliikejeli DRC kwa kusema taifa hilo ni maskini na halina...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Yanga, Biashara United uwanjani leo kwa Mkapa, Kocha Nabi atoa kauli kuhusu mchezo huo

    Wanafainali wa michuano ya Kombe la FA msimu uliopita, Yanga, leo saa moja usiku watakuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutafuta nafasi ya kutinga Hatua ya Robo Fainali wakati itakapocheza dhidi ya Biashara United kutoka mkoani Mara. Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi alinukuliwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Japo ni mwana Simba SC kwa 100%, ila Mo Dewji nisikufiche Unatuchanganya mno wana Simba SC wenye Akili kwa Kauli zako zinazochanganya

    Japo nikiri kuwa huwa nawasema mno Yanga SC hapa JamiiForums nikiwa katika Vita yangu Kuu ya Kipropaganda na Wao ili niwadhoofishe na naanza Kufanikiwa ila kwa leo nakugeukia Mwekezaji, Rais wa Heshima Simba SC na Tajiri Mohammed Ghullum Dewji. Mo Dewji ni kwanini huwa unapenda sana Kukurupuka...
Back
Top Bottom