kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

    "NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!" Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
  2. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Natamani viongozi wote wa mataifa ya Afrika waiunge mkono kauli ya Nana Akufo Ado

    Ifike wakati Sasa Afrika tuungane Katika kutetea masilahi yetu. Linapokuja suala la Afrika lisiachwe liwe la mtu mmoja,au taifa moja. Afrika tuoneshe kujitambua.
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Tukio hili la SIMBA linapingana na kauli ya Wallace Karia

    Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake wakaendesha misa ya mzaha kuibeza Yanga kufungwa na Vipers mwaka huu. Alipotoka ndani ya jeneza akaimba...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  5. Nick J Vuitton

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  6. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wakenya kwa kauli hizi, anafaa kuwa Rais huyu ndugu yenu?

  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilicho nyuma ya Kauli Mbiu mpya ya Simba SC isemayo We are Unstoppable

    Ni kwamba baada ya kuwa na tabia ya Kuhonga Marefa na Wachezaji wa Timu Pinzani na kuwa Bingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo na Yanga SC nao Kuiga Mbinu hiyo waliyopewa na Haji Manara ( aliyekuwa Simba SC) na Wao kuwa Mabingwa Msimu ulioisha ni kwamba Simba SC wameamua kuurudia huo...
  8. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

    Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” Ni kauli ya kishetani iliyojaa uchawi ndani yake

    “Aliyeko Juu Mngoje Chini!” “Aliyeko juu mngoje chini”? Hii ni methali ya kipepo kabisa. Ambaye anaitendea kazi mithali hii ataendelea kubaki chini akiwasubiria walioko juu kiuchumi, walioko juu kielimu, walioko juu kiroho, walioko juu kiufahamu, washuke chini. Na wasiposhuka chini atafanya...
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayala from Cape to Mumbai, hadithi iliyojificha yasimuliwa

    Pascal Mayala(CCM) alipopata uwakili nilimuuliza kama atakuwa wakili wa wanaccm tu na mwanachadema ambaye siku zote ana hasira naye ataweza kumtetea? Swali langu lilitokana na dunia kuwa duara, tenda ulitendalo lakini kuna siku utakwama na kuwarudia unaowachukia. Pasikali asiyewapenda...
  11. Abdideol

    JamiiForums Tanzania Mhalifu wa kauli taarifa

    Kigezo kipi kimetumika kutoa Taarifa ifuatayo.?? "AMUUA MKE WAKE NA KISHA YEYE MWENYEWE KUJIUA." Kupitia kauli hiyo tunaweza kuwa tunamlinda muhalifu bila hata kufahamu. Ukifanya Tathimini pengine unaweza tambua aliyemuuwa Mke sio Mume na pengine Mume kajiuwa ili kuepusha shari huenda...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Madereva na Makondakta wawe na kauli nzuri kwa abiria wao

    Nalia na madereva pamoja na makondakta wao kwa kauli zao zinazokera wanazozitumia kwa abiria wao. Imekuwa ni changamoto kubwa hususani kwa makondakta wa daladala zinazoelekea maeneo yenye watu wengi maarufu kama ''Uswahilini'' kama vile Manzese, Mbagala, na sehemu nyingine. ''Ungekuwa na haraka...
  13. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kauli ya serikali kuhusiana na Ongezeko la mshahara

  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura ameteuliwa ili Viongozi waishi vizuri?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania. “Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
  15. Tonytz

    JamiiForums Tanzania Kauli zao zinapoteza matumaini mengi ya wengi

    Kwanza nianze Kwa kumshukuru Mungu Kwa uzima na afya anayonijalia SIKU zote. Pia nawashukuru JF Kwa kuweza jukwaa hili ili kuibua na kuendeleza mawazo yaliyokosa pa kusema. Wahenga walisema kuwa uyaone. Msemo mwepesi lakini uliobeba majonzi Kwa wale tunaoyaona sasa. Kwanini wanaendelea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Januari Makamba kama hawampendi wamuue ina maana gani?

    Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue imenipa tafakari nyingi sana Mosi ina maana Makamba anawaita watanzania ni wapuuzi na kamwe hawezi kutoka...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mtu Hatari sana kwa Ustawi wa Taifa Staarabu. Ana Uhatari Mkubwa katika kauli zake

    Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi. Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  20. 44mg44

    JamiiForums Tanzania "Mapenzi Ulaya, Afrika ni biashara." Hii kauli ni sahihi?

    Maeneo mengi ya bara la Afrika, mapenzi yanatazamwa Kama sehemu ya kuchumia Mali. Mfano mahari kubwa, kuhonga Mali na wanawake kujiuza, haya yote yanadhihirisha kuwa wanawake wa kiafrika hawana mapenzi ya dhati mbali wako after money Pia hata wazazi wengi wa mabinti wa kiafrika wanapenda...
Back
Top Bottom