Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao
Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani
Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
Lopolopo kuhusu viwango vya nauli msijisahau tunawakumbusha Mama anaupiga mwingi sasa yuko pande za Marekani, anafanya mwendelezo wa bidii za kuifungua nchi.
Mama anaupiga mwingi, tuache lopolopo nauli kiwango cha chini ni 700 -1000,mpende msipende
George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania.
Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali wakayakataa hayo maoni yaliyokuwa na jina la BOMAS. Chama tawala wakaanzisha mchakato wao na...
Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo.
Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
"Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi.
Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake.
Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya.
“Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea...
Kwenye uzi huu tujadili kauli zenye athari hasi za Rais Samia.
Mimi naanza na kauli yake kwamba kutokana na vita ya Urusi na Ukraine anakosa namna ya kuzuia vitu visipande bei. Tangu atoe kauli hiyo lita 3 ya mafuta ya kula ya sun flower inauzwa 25,000. Box ya ream paper inauzwa 80,000 na...
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka.
Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya
Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE.
Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana tuazimishe siku hiyo kwa mapumziko na tuazimishe kwa kuwa kuwatembelea wamachinga na kuwajengea uwezo...
Waungwana,
Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela.
Muda unatuambia sasa.
Awali, hapa JF kulikuwa na hii thread - Kiongozi wa chama haelewani na yule kiongozi...
Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro.
Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai kumwomba rais kutengua waziri wa mali ya asili kwa kauli yake kwamba Wamasai kwao ni sudan na siyo...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya wiki iliyopita
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Rais wetu, Mama Samia.
Kama mtu uliwahi kuandika kuhusu jambo fulani, halafu hilo jambo likafanyika, kwa jinsi ile ile ulivyoandika na ulivyoshauri, hata kama halikufanyika kwasababu ya andiko lako au ushauri...
Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme.
Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
Mwaka 2020 Tundu Lissu baada ya kumaliza kupiga kura akiwa wilayani Ikungi mkoani Singida alisema kwa kinywa chake kuwa zoezi la uchaguzi limenda vizuri.
Lakini baada ya matokeo kutoka Lissu alipaza sauti kuwa huu haukuwa uchaguzi bali wizi na uchafuzi. Na akaondoka nchini kwa escort akisaidiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.