katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tulienda 'Kuchakura' Mchanga kama 'Kuku' katika 'Majaba' ili tupate Zawadi za 'Mchogo Pesa' ya Clouds FM leo Kinesi Ubungo tujuane tafadhali

    Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka. Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wahimizwa kuwahamasisha Waumini kutunza mazingira (ujumbe katika Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya)

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa viongozi na Taasisi za Kidini Nchini kushiriki ipasavyo kuhimiza utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza. Naibu Waziri ametasema hayo Septemba 30, 2023 Ilala, Jijini Dar es...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wenye Professions za Wizara husika kwanini Gerson Msigwa hajawekwa katika yake ya Media?

    Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
  4. JamiiForums Tanzania Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  5. JamiiForums Tanzania Watu hatari zaidi katika kuwa nao ni hawa

    Ni vizuri kuwa na marafiki wa aina mbalimbali kwa mtu lakini ni vizuri zaidi kuelewa aina ya marafiki ulionao. Kuwa na idadi kubwa ya marafiki siyo sababu ya mtu au Taifa kujiona linapendwa au lina msaada fulani kutokana na idadi ya marafiki. Urafiki ni muhimu ila kuelewa aina ya urafiki na...
  6. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Historia ya Hermann von Wissmann Katika Vitabu Vyangu Viwili

    HISTORIA YA HERMANN VON WISSMANN KATIKA VITABU VYANGU VIWILI Tuanze na sanamu ya Hermann von Wissmann. Picha na maelezo hayo hapo chini nimeyatoa mahali katika mtandao na nimefanya uhariri kidogo: ''Kabla ya sanamu ya askari iliyowekwa na Waingereza 1927, awali palikuwa na sanamu ya Gavana wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hii picha katika Ajira Mianne kugombea na watu Elfu hamsini na sita sio mchezo !

    Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
  9. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ili TAKUKURU iwe na meno ishirikishwe katika mipango ya idara na mashirika ya umma

    Mara kadhaa Rais na wapambe wake wakiwemo mawaziri wanapohisi kuna ubadhilifu katika fedha za umma huwaagiza TAKUKURU wafanye uchunguzi! Mtindo huu wa utawala ni wa hovyo kwani tayari fedha zinakuwa zimetumika vibaya. Jambo hili lingeweza kuepukika kama TAKUKURU wangeufahamu mradi tangu mwanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi jiuliza kwanini ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika WW2 ni maarufu zaidi kuliko ushindi wa Urusi kwa Ujerumani?

    ChartGPT anasema hivi Ushindi wa Marekani dhidi ya Japani katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia unaweza kuonekana kuwa maarufu zaidi kutokana na sababu kadhaa: 1. Mabomu ya Atomiki: Shambulio la Marekani kwa kutumia mabomu ya atomiki juu ya Hiroshima na Nagasaki lilikuwa tukio la kipekee katika...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

    Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini. https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Lakini mara nyingi nimekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama unadhihirika pale kila Jaji anapoweza kujitegemea katika kufanya Maamuzi ya kesi kwa Haki, bila upendeleo wala kushawishiwa

    Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini. Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania Fadhili na Ibrahim kuwania Tsh. Bilioni 2.4 katika Fainali za America's Got Talent

    Ni baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ya ambapo sasa watashindana na Washiriki wengine ambao ni The 82nd Airborn Division All American Chorus, Avantgardey, Chibi Unity, Anna DeGuzman, Putri Ariani, The Mzansi Youth Choir, Murmuration, Ahren...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Katika Ofisi ya TANU ya Miaka ya 1960

    OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960 Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960. Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii itanikumbusha mengi. Kweli na hakika picha hii imenirudisha nyuma sana na imenikumbusha mbali katika...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Tanzania na Ireland Kushirikiana Katika Michezo (Soka la Wanawake na Uchoraji)

    WAZIRI DKT. NDUMBARO - TANZANIA NA IRELAND KUSHIRIKIANA KATIKA SOKA LA WANAWAKE NA UCHORAJI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na Balozi wa Ireland hapa nchini Mhe. Mary O' Neill na kukukubaliana kushirikiana katika Sekta ya michezo hususan soka la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…