Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,497
Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake.
Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano.
Baba ukiwa mtu wa totoz bhana, unakuwa unaogopa ogopa, watoto wako wasikutane na mabaharia.
Sasa kuna kabinti kangu kamoja, kamechukua sura ya baba, anaingia kidato cha kwanza mwakani; ningependa aende shule za watoto wa kike tu.
Katika kuangalia angalia mtandaoni, nimeona kibosho Kilimanjaro ni kuzuri.
Kwa wale wanaoifahamu hiyo shule, kimalezi pamoja na ada zao naomba ufafanuzi.
Karibuni kwa abc.