katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
  2. JamiiForums Tanzania Sabaya katika mchuano mkali na mawakili wa Serikali

    Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri. Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika vijiwe vya kahawa kwa viongozi wa CCM?

    Kuna mambo ukiona yanajirudia ni vizuri kujiuliza ili kujifunza. Wana JF tusaidiane. Enzi za uhai wake tulimwona Hayati John Pombe Magufuli akinywa kahawa na vijana wake huko Chato. Hivi majuzi akiwa ziarani Singida tukaoneshwa picha Rais Samia Suluhu Hassan naye akiwa na kina mama katika...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Korea ya Kaskazini Yafunga Balozi Zake za Nje Katika Nchi Kadhaa

    01 November 2023 Seoul, South Korea Korea ya Kaskazini yafunga balozi zake kadhaa ikiwemo ya nchini Spain, Angola na Uganda. Hii ni kufuatia hali mbaya ya kifedha kufuatia vikwanzo vya kiuchumi ambavyo vimeikaba nchi hiyo ikiyokaidi kufunga mradi wake wa kuwa na silaha kali za nuclear, ambapo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

    Salaam, Shalom!! Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu. Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Mafundi kuweni wakweli katika ufanisi wenu, msihadae wateja

    Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
  8. JamiiForums Tanzania Haiwezekani nyumbani kukawa na betri zinazochajiwa na umeme wa TANESCO na zikatumika wakati umeme unakatika katika?

    Kwenye umeme wa solar umeme unaozalishwa wakati wa jua huwa unatunzwa kwenye betri na mwingine unaendeela kutumika. Ikifika usiku wakati wa giza, ule uliotunzwa kwenye betri unaanza kutumika hadi pale jua litakapotokea tena. Haiwezekani hivi kwenye umeme wa TANESCO. Mfano hapa panq mgao wa leo...
  9. JamiiForums Tanzania Utafiti na Vithibitishi vya Uwezo wa Kusafiri katika Muda (TIME TRAVEL)

    Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda. 1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941 Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  11. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kushambulia kwa mawe Ofisi za Mtaaluma Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda kunatoa taswira gani kwa walimu na wanafunzi shuleni hapo?

    🥲
  12. JamiiForums Tanzania Katika hatua ya pili kupambana na Hamas hapo juzi kumbe IDF imegaragazwa Gaza

    Baada ya kurudi kwa intaneti hapo jana wapiganaji wa Hamas wamerusha mafanikio yao makubwa pale jeshi la Israel lilipoingia kwa mbwembwe ndani ya ngome zao. Hizo video zilizosambaa kwenye mitandao kijamii unaweza ukadhani ni michezo ya play station jinsi vifaru zaidi ya 20 vilivyoripuliwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Faida Mbalimbali za Mmea wa Moringa katika mwili

    Moringa oleifera is a drought-resistant tree native to South Asia and Africa. It has been cultivated for centuries around the world for its potential health benefits. While the plant's leaves can be eaten, it is also found as a supplement in pill or powder form. The leaves have a spicy...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anachukua sifa ya kuwa Rais bora wa mudawote katika uwekezaji wa Afya

    Mnyonge mnyongeni ila sifa yake muachieni. Sisi waswahilli tunatumia msemo huu kumsemea asiyependa kujikweza. Kabla ya kuingia katika madaraka ya Urais mhe.Samia Suluhu Hassan amekuwa ni muumini wa kuigwa na kutajwa kama mfano kati ya Viongozi wachache nchini waliotoa kipaumbele kwa vitendo...
  15. JamiiForums Tanzania NAIBU Waziri TAMISEMI, Mhe Dkt. Festo Dugange - Tsh. Bilioni 8 Zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya Ununuzi wa Vifaa Tiba

    NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt.Festo Dugange amesema ndani ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Sh. Bilioni 8 zimepelekwa katika Mkoa wa Njombe kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba. Mhe. Dugange ameyasema hayo akiwa katika ziara ya Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo azungumzia mradi wa kilimo cha umwagiliaji katika bonde la Usangu

    "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni fedha nyingi. Tunaona dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais kuhakikisha anafanya Wilaya ya Mbarali na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za utalii Zanzibar

    Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Natumia hela katika hali zisizo rasmi

    Habarini wakuu, Kuna issue moja inaendelea kwenye maisha yangu na sihitaji kabisa kuichukulia kawaida ili isije kuniletea matokeo mabaya kwa ukubwa. Ipo hivi, picha limenza kwa mzunguko wa biashara yangu kusimama katika hali ambayo sio ya kawaida, Napishana sana na wateja na pia sometimes...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Mwili ule wa Kimbaumbau wa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kumpeleka katika Oparesheni Kamata Jezi ni Kumhatarishia tu Maisha yake

    Tafadhali nawaomba Siku zingine msirudie tena au kama mnapenda awe anatumika katika Oparesheni zenu basi anzeni Kumlisha vyema ( Balance Diet ) ili Mwili wake uongezeke na mpeni Ratiba maalum ya kwenda Gym Kuujenga na Kuukomaza Mwili wake akienda tena katika Oparesheni zingine asiwe anapepesuka...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…