Makamura
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 356
- 550
Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda.
1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941
Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa havijaendelea, lakini katika ufunguzi wa daraja hilo moja ya picha zilizopigwa wakati zilimuonesha jamaa mmoja ambaye alivaa tofauti na wotee yeye alipigilia T-shirt, sweta la zipu na Miwani Nyeusi ya Jua. Ambapo kwa miaka hiyo ya 40's hakukuwa na hivi vitu
2. PETE YA SAA YA KISASA KATIKA KABURI LA MIAKA 400
Katika kaburi la Mfalme wa Zamani wa chini aliyetawala miaka ya 1368 hadi 1644, Ilikutwa Pete yenye Saa ambapo teknolojia hiyo ilikuwa bado haijafika miaka hiyo ya Zamani. Inaaminika ni mtu alisafiri katika muda na kuishi huko na vitu vyake vya kisasa.
3. MWANAMKE MIAKA YA 1940 AKIONGEA NA SIMU
Kwa miaka hiyo hakukuwa na teknolojia ya simu za Mkononi, lakini katika video moja ilimuonesha mwanamke mmoja akiongea na simu na akiwa na furaha sana kisha akakataa na kuendelea na matembezi.
4. MWANAUME MMOJA ALIJISAIDIA ASIFE
Mtu mmoja anayeaminika alisafiri katika muda na kujisaidia ili asife na tukio hili lilidakwa kwenye CCTV camera katika video ya hapa chini