katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

    Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana. PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio. CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA...
  2. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Wizaria ya Elimu na NECTA, Ni muda sasa mtumie weledi wenu vizuri kwenye Elimu yetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
  3. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM asikitishwa na wananchi Morogoro kutozwa Sh 7,000 bili ya maji yasiyotoka, aagiza TAKUKURU kuchunguza na kuwatia pingu wanaohusika

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah. Kauli hiyo ameitoa leo...
  4. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi, ondoa wizi unaofanywa kupitia malipo ya cash kwa watumishi na wazabuni kupitia OC, fedha zilipwe kwenye akaunti

    Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
  6. Night Watch

    JamiiForums Tanzania Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Diwani Athman atenguliwa ikulu. ========= Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Dk bashiru ndiye katibu mkuu kiongozi aliyedumu kwa muda mfupi zaidi,siku 37 tu!

    aliteuliwa tar 26 februali na kutumbuliwa tar 31 march! kwani mama alimuondoa haraka sana je alikuwa kirusi? kwa nini hakumpa muda hata wa mwaka mmoja kuna mahali huenda hawakuwa sawa hata kabla ya magufuli kurest in peace? je mama hakupendezewa na uteuzi wake? na hayo yanayotokea sasa msigano...
  9. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

    KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!? Leo 17:50hrs 20/11/2022 1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watendaji Chuo cha Muhimbili watakiwa kujitathimini, wapewa miezi mitatu ya uangalizi

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUCOHAS) kujitathimini katika uwajibikaji wao na namna ya Uongozi unavyoendesha mambo yake. Prof. Makubi ameyasema hayo Oktoba 30, 2022 wakati alipokitembelea chuo...
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwa Katibu Mkuu?

    Mary Chebukati, mke wa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati, ni mmoja wa watu 477 ambao wameorodheshwa kwa nyadhifa 49 za Makatibu Wakuu (PS) na Tume ya Utumishi wa Umma (PSC). Baadhi ya Makatibu Wakuu waliohudumu chini ya utawala wa Rais wa zamani Uhuru...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Waliotapeli kwa jina la Dr. Abbas na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe wakamatwa

    Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi watuhumiwa hao ni Innocent Adam Chengula na Tarzan Alfan Mwambengo wanaodaiwa kutumia picha na jumbe za simu zinazomuhusisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Michezo kwa lengo la kutapeli pamoja na kuzusha kifo cha Dr. Mwakyembe. Baada ya upekuzi walikutwa na Kadi za Simu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Abbas anazungumza leo Septemba 16, 2022

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya Ndani iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo Waziri wa Habari na Mawasiliano...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM, Kenani Kihongosi kusikiliza changamoto za vijana tarehe 8 Septemba, 2022

    UVCCM_ TAIFA KESHO SEPT. 08, 2022 UPANGA, DAR ES SALAAM Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi atasikiliza Changamoto na Maoni kutoka kwa Vijana kesho 08/09/2022 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM, Upanga kuanzia saa 6:00 Mchana. VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA #AlipoMamaVijanaTupo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwako Mzee Kinana; Kama kweli mmedhamiria kupambana na rushwa kwenye chaguzi za CCM basi anzeni na Kihongosi Katibu mkuu wa UVCCM

    Haya nitakayoandika hapa natamani yafike mezani kwako kupitia jukwaa hili au nitaandika kwa kirefu na kukufikishia ofisini kwako na lengo la kufanya hivi ni zuri kabisa natumaini litapokelewa kwa mikono miwili. Awali ya yote napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kulijalia...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa kwa Vijana leo

    Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya vijana duniani Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa jamii kuwasaidia vijana kwa kuwekeza kwenye kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa kiujuzi kupitia mikutano pamoja na kufanya mabadiliko katika mifumo ya elimu. Vijana, ni nusu...
  18. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katibu mkuu anavyomtumia The Voice of Voiceless

    Kwa muda mrefu sana katibu Mkuu wa chama cha soka amekuwa akimtumia The Voice of Voiceless kufikisha ujumbe au kile kitakacho tokea hususani katika maamuzi au kuwaanda watu kisaikoloji kinachokuja kutokea. Unaweza kuona kama huyu jamaa The Voice of Voiceless anajua utaratibu fulani lakini ni...
  19. Taifa Digital Forum

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Katibu Mkuu ACT, Addo Shaibu Dar

    Julai 29, 2022 Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam.
  20. tamsana

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
Back
Top Bottom