Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Udugu hazina kubwa.
Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini.
Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo.
1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali.
2. Epuka kutumia approach za...
Tujifunze kuweka Akiba ya maneno vyeo vyetu ni mapito tu watawala wajifunze kuishi na walio chini yao vizuri.
PIA SOMA: Daniel Chongolo apendekezwa kuwa Katibu Mkuu CCM
DANIEL CHONGOLO APENDEKEZWA KUWA KATIBU MKUU CCM
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan amempendekeza Ndg. Daniel Chongolo kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Chama kimempitisha kwa kauli moja.
Hatimaye Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejaza nafasi ya ukatibu mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.