Niwieni Radhi, mada ni:
Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini.
Nawasilisha.
Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba wananchi wengi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania hawaijui katiba yao na wengine ata kuwa nayo...
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa...
Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi.
Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki.
Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo.
-----
“Nikipata nafasi...
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa.
Kimesema katiba hiyo imewezesha kufanyika kwa...
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
Zitto ni mwepesi sana kutetea na kukosoa uvunjwaji wa Katiba. Ni mchambuzi wa siasa na hoja za maendeleo, Ni mchambuzi wa masuala ya uchumi.
Suala la akina mdee linagusa engo zote ambazo Zitto ni mbobezi Kama ifuatavyo;
Kwanza, linakosa usimamizi na utetezi wa kisiasa kwa sababu mfumo wa nchi...
Matamanio ya wengi, hasa upande wa Upinzani Kupitia Chama cha Chadema kupitia mgogoro mkubwa wa wabunge wake waliofukuzwa uanachama na kukosa sifa ya kuwa wanachama wa Chama hicho na moja Kwa moja kukosa uhalali wa kuwa wabunge.. wengi wao walitegemea Mh Raisi akalikemee Jambo Hilo bungeni...
Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini.
Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone anayotumia katika uwasilishaji wa hoja zake. Kitendo cha kuahidi kufanya maboresho kwenye sera zetu za...
Imetamkwa wazi kabisa wabunge wapo huru kujadili hoja na mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na mtu au mhimili wa dola. Ipo wazi katika ibara ya 100 (1) kwa hiyo sioni haja ya kuwapangia nini cha kujadili.
Ibara ya 100 (2) imepigia mstari kabisa kuwa wabunge hawatashitakiwa kwa chochote...
Rais Samia Suluhu Hassan kwanini aingilie mhimili wa Bunge? Zaidi soma Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli
Leo ni siku ambayo makali ya Samia katika kutetea maslahi ya CCM yameanza kujionesha wazi, wabunge wako huru kujadili chochote...
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku akilitaja jina la Mwenyezi Mungu.
Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa kila siku kabla ya bunge...
Ndugu, wakati umefika Sasa wa Kubadilisha katiba ya Zanzibar Kuondosha ukomo wa Urais kwa upande wa Zanzibar. Nashauri Rais aliyopo Sasa aendelee kuingoza Zanzibar hata kipindi chake Cha miaka kumi ikiisha Kwa uwezo wa Mungu. Sote tunashuhudia siku chake tu amefanya Mambo makubwa sana. Na hii...
Hello jf
Kwakuwa tunapaswa kuishi kwa kuendana na alama za nyakati basi kama wewe ni mmliki au mbeba maono ya taasisi fulani ( kanisa, msikiti, chama,kikundi, jumuiya)
Ni wakati sasa uweke mikono ya wataalamu katika taasisi yako tukuandalie nyaraka muhimu za katiba na kanuni ili uweze kuendana...
UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu
Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
Wasalaam wakuu,
Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu ambao hawakujiandaa kuwa kwenye nafasi fulani fulani za kiuongozi.
Katiba yetu iko wazi jinsi...
Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo.
Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi.
Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
Ili kuyafafanua masilahi ya Zanzibar ndani ya Muungano lazima kwanza useme kweli tupu ni kwanini Tanganyika haipo Tanzania lakini Zanzibar ipo Tanzania. Pili, useme kweli tupu kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania ama ni nchi. Katiba lazima inyooshe kuhusu maswali haya maana ndiyo yatakayotumika...
Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote.
Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu.
Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya watanzania waendelee kutawaliwa na sisiemu.
Naam inajulikana vizuri kwamba ili kifaranga kiendelee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.