katiba

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

    "Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama, Kuliweka hili kwa...
  2. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

    Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika). Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi...
  4. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania KATIBA MBONA IPO?

    1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3. Mimi sipingi KATIBA MPYA, bali nataka tuonyeshane hiyo KATIBA MPYA yenyewe iko je, na Pahala ilipo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  6. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Niseme tu Katiba Mpya tusubiri miaka 100 mbele, kizazi hiki hakina uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya inayodaiwa

    Napingana sana na wana harakati na waumini wanao dai sasa nchi inahitaji katiba mpya ili iweze kwenda mbele.Mimi napingana nao kwa sababu kuu zifuatazo 1. Kwa sasa kudai uandaaji wa katiba mpya ni kupoteza fedha na muda kwa sababu sisi kama nchi bado hatuna uwezo wa kuisimamia hiyo katiba mpya...
  7. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga Katiba mpya, tupeni madhara yake na sisi tujue

    Tanzania ina viumbe wa ajabu!! ,watu wanaotazama leo yao tu na kesho haiwahusu kabisa. Ninamshangaa sana watu wanaokataa katiba mpya na kudai hii ya zamani inatosha au eti Rais Samia anatosha kwa sasa. Hajiulizi kikimtokea kilichomtokea mwendazake nani atakuwa na moyo kama wake! Mpole, mwelewa...
  8. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Katiba Itamke: Kiongozi yeyote wa kisiasa asimfukuze kazi mtumishi wa umma

    Taja yangu haijafuata protoko ila ninachomaanisha, katika utumishi wa umma kumekuwa na hawa mabosi ambao wengi wao sio wanataaluma katika nafasi walizonazo ila wana power kubwa sana kwa watu ambao ni wanataaluma. Unakuta DC anamwagiza DED amsimamishe kazi labda Mhasibu. Hapo unakuta DC hajawahi...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Hivi katiba mpya ni hisani ya kutoka Kwa mtawala ama ni takwa kisheria?

    Nauliza tu Kwa watalaamu wa Sheria zetu Kuwa na katiba mpya, ni hisani ya mtawala kukuubali kusimamia kitu hichi ambacho kwayo takwa hili halimo kwenye Ilani iliyomweka madarakani Kama siyo huruma na hisani ya mtawala kupokea Jambo hili na kuamua kulifanyia kazi, Kwa nini kila anayesimama na...
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Ni kosa la kustahili kutekwa kudai Katiba mpya Tanzania?

    Katiba ya inchi ni makubaliano au utaratibu unaowekwa na wananchi wote namna gani taifa lao litawaliwe. Content kubwa ya katiba iliopo tume rithi kutoka katiba ya ukoloni. Wakati wa uongozi wa awamu ya nne ya Urais chini ya mweshimiwa Rais Kikwete kulianzishwa mchakato wa katiba mpya. Bahati...
  11. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Katiba yetu ni bora sana isinajisiwe kwa masilahi ya wanasiasa imetuvusha kwenye kipindi kigumu sana

    katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nzuri Afrika na Duniani imejidhihirisha kuleta Amani na utulivu ndani ya nchi yetu mfano mzuri ni mwaka huu ambapo Taifa liliingia kwenye majaribu makubwa lkn kwa mjibu wa katiba yetu nzuri na bora tumevuka salama Tumevuka nyakati ngumu sana...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza, wakati wa Katiba mpya ni sasa

    Nasema hivi, hatutakuja kupata tena nafasi nzuri na kwa muda muafaka wa kutengeneza katiba mpya iliyo nzuri kama sasa, namaanisha wakati wa utawala wa rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan. Zingatia na kumbuka yafuatayo: 1) Rais wa sasa anakubalika katika pande zote za Muungano, na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

    Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote. Ndio nauliza...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Huu utulivu, furaha na shangwe Mhe. Rais ataukamilisha kwa katiba mpya?

    Kuna kautulivu flani unakaona kwenye nchi, kuna kauhuru flani unakaona kuanzia vijiweni,makazini,barabarani na kwenye mitandao ya kijamii watu wakijadiliana mambo kwa Uhuru bila kukamatwa na hakuna athari ya Usalama iliyoripotiwa. Kuna upendo flani umeanza kuonekana baina ya viongozi wa...
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Rais Samia boresha kila kitu tutakusahau, ila ukimaliza mchakato wa Katiba tutakukumbuka milele

    J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na wakoloni. Mwinyi alikuwa mwana Diplomasia mliberali na ndiyo maana akafungua milango ya uchumi wa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tuanze upya mchakato wa Katiba Mpya

    Nianze kwa kukumbuka mwaka 1971 nikiwa Kijana. Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ilikusanya maoni ya wananchi nchi nzima kuhusu MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI KUHAMISHIWA DODOMA. Sina uhakika kama maoni hayo yalikusanywa pia Zanzibar, ila cha msingi hapa ni kuwa uliwekwa utaratibu mzuri kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni mwana CCM yupi hakuonja ubaya wa Katiba tuliyo nayo?

    Zipo sababu kadhaa zinazowafanya makada wa CCM kuendelea kuing'ang'ania katiba iliyopo isibadirishwe na iendelee kuwepo kwa jinsi ilivyo. Kubwa kuliko zote ni maslahi ya chama chao, kila mwana CCM anaangalia na kupigania kwanza maslahi na uhai wa chama cha mapinduzi kabla kitu kingine chochote...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa sasa Taifa halihitaji Katiba mpya, Rais Samia Hassan anatosha

    Habari wadau, Awamu iliyopita wengi waliililia katiba mpya sababu utawala uliopita wa awamu ya tano kiukweli uliwabana sana mbavu kila kona mpaka wakajiona kama wao sio sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini SAP baada ya kuingia Mama Samia katika kiti cha Urais kwa kipindi hiki...
Back
Top Bottom