Hivi Watanzania wanahitaji Katiba Mpya au Elimu ya Katiba Mpya?

Soloma TV Online

Senior Member
Jun 26, 2023
104
291
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.

Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?

Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha upatikanaji wa Katiba mpya?

Imeandikwa na Mwanakijiji.
71ccf11b09364e50a331f0e44b965a2c_373630146_18014057368837875_3836539492291697982_n.jpg
 
Watanzania tunataka Katiba Mpya na inayokidhi mahitaji ya sasa! Na siyo porojo na danadana zisizoisha.
 
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.

Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?

Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha upatikanaji wa Katiba mpya?

Imeandikwa na Mwanakijiji.
View attachment 2735203
Serikali imeamua kuazima.masikio ya kenge.

Viongozi wanaamini kuwa ukishapata daraja la uongozi basi hapohapo unakuwa na akili nyingi kuliko waongozwa.

Sisi tunataka Katiba Mpya, kwa kusema tunahitaji kuelimishwa kuwa tunataka nini huo ni upumbavu na ujuha
 
Serikali imesema kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ijayo itatumika kutoa Elimu kwa wananchi juu ya Katiba mpya.

Hapa najiuliza kwa maandishi ina maana mpaka leo Wananchi hawana uelewa juu ya Katiba mpya?

Hivi hakuna namna nyingine ambayo Serikali inaweza kufanya katika kuharakisha upatikanaji wa Katiba mpya?

Imeandikwa na Mwanakijiji.
View attachment 2735203
Saa ya UKOMBOZI ikifika, Mungu huifanya mioyo ya Watawala kuwa migumu na kuwafanya wawe na kiburi Cha kuringia nguvu ya majeshi. Farao/Firauni aliwekewa kiburi moyoni na kupuuza kila aliloambiwa na Nabii Mussa kuwaachia Wana Israel na kukaribisha anguko. Hawa CCM, waendelee tu na kiburi Cha kuringia nguvu ya majeshi,anguko linakuja.Saa ya UKOMBOZI imeletwa na DP World.
 
Back
Top Bottom