kasi

KASI (1430 AM, "News Talk 1430") is a radio station licensed to serve Ames, Iowa. The station is owned by iHeartMedia, Inc. and licensed to iHM Licenses, LLC. It airs a News/Talk radio format.The station was assigned the KASI call letters by the Federal Communications Commission.The transmitter and tower are located in northwest Ames. According to the Antenna Structure Registration database, the tower is 124.4 m (408 ft) tall.In January 2016 KASI applied for an FM translator to rebroadcast the AM signal at 94.1 MHz. That application has since been approved to KASI by the FCC as of February 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu Waziri Mkuu ikitengenezwa kwa kasi maeneo ya Musabe

    Yajayo yanafurahisha Leo nilikuwapo jijini Mwanza maeneo ya Buhongwa nikaona barabara ya kuelekea nyumbani kwa Naibu waziri mkuu, Dotto mashaka Biteko ikijengwa kwa kasi Sana nikajua tu yajayo kwa Kanda ya ziwa yanafurahisha kila la Kheri mtarajiwa.
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Chuo cha VETA waendelea kwa kasi Kata ya Partimbo

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake Kata ya Partimbo kutembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha VETA kukagua maendeleo yake. Amewapongeza wasimamizi na mkandarasi wa mradi huo kwa kazi kubwa inayoendelea Mhe. Edward Lekaita amezungumza na Wananchi wa Kata ya...
  3. JamiiForums Tanzania Restaurant gani Dar es Salaam ninaweza kupata WIFI yenye kasi zaidi?

    Za sahizi binadamu wenzangu. Nipo Dar es Salaam Nilikuwa nauliza ni restaurant au hotel gani ninaweza kupata WIFI yenye kasi sana na ambayo ina GB nyingi nina ma file ninayotakiwa ku download kwenye PC yangu jumla ni 156GB. Sasa mimi hiyo budget siwezi kuitumia kwenye manunuzi ya bundle za...
  4. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA inaimarika huku CCM ikiporomoka kwa kasi 2024/2025 hapatatosha

    umofia kwenu Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe. Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Lengo ni kuongeza kasi ya usimamizi katika kila kona na si Vinginevyo!

    Waota njozi wamekuwa na tafsiri 1001,lakini lengo kuu ni usimamizi thabiti, wakati mwingine ngombe bila bakora haendi.
  7. JamiiForums Tanzania HUAWEI imerudi kwa kasi sokoni

    Kama habari inavyoelezewa hapa na Reuters China chip stocks rally after Huawei's low-key launch of new Mate 60 Pro phone By David Kirton and Jason Xue August 30, 202311:51 AM GMT+3Updated a day ago Huawei sign is seen at the World Artificial Intelligence Conference (WAIC) in Shanghai, China...
  8. JamiiForums Tanzania NASA watengeneza ndege yenye Kasi kuliko Concorde

    Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde. Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kila siku wako Misikitini na Makanisani wakihubiri siasa lakini wa kwanza kusema tusichanganye dini na siasa

    Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
  10. JamiiForums Tanzania Uongozi UWT Taifa Waridhishwa na Kasi ya Maendeleo Jimbo la Manonga, Wampongeza Mbunge Gulamali

    UONGOZI UWT TAIFA WARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM JIMBO LA MANONGA UWT Taifa Washambulia Kata 8 Jimbo la Manonga na Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa Bi Asya Ali Khamis Atembelea Jimbo la Manonga Kata ya Choma katika Ziara ya Kukagua Miradi...
  11. JamiiForums Tanzania Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimo chaongoza kuchangia pato la taifa kwa robo ya kwanza ya 2023

    Mchango wa Sekta Kuu kwa Ukuaji wa Pato la Taifa Tanzania Mwanzoni mwa 2023. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wachangiaji wakuu wa ukuaji wa Pato la Taifa la Tanzania katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 walikuwa: 1. Kilimo: Sekta ya kilimo ilirekodi kiwango cha ukuaji cha...
  13. JamiiForums Tanzania Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

    Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba, zilivutia sababu zilikuwa 'halisi' kutokana na kugusa eneo lake la uelewa na ujuzi. Ghafla likaja...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta.

    Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji awataka Wakulima kuongeza kasi ya uzalishaji wa Malighafi za Mafuta. Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji(MB) amewataka wakulima hususani wanaozalisha malighafi ya viwanda vya mafuta ya kupikia kuongeza uzalishaji kutokana na uwepo wa viwanda vingi vya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  17. JamiiForums Tanzania Chanzo kikuu cha ajali za barabarani sio mwendo kasi (kwa mtazamo wangu)

    Baada ya kufuatilia kwa karibu ajali zinazotokea mara kwa mara hasa zinazohusisha magari makubwa nimegundua kuwa, zaidi ya nusu zimesababishwa na overtaking (kupita gari la mbele bila kuchukua tahadhari. Mara nyingi mwendokasi umeweza kusababisha ajali pale dereva anapoacha kufuata taratibu na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mtandao wa TIGO unakula Data kwa kasi sana?

    Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini? Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
  19. JamiiForums Tanzania Simba SC inapiga soka la kasi, ukila goli 10 usilaumiwe

  20. R

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi mbegu za bamboo inayokua kwa kasi?

    Kuna ile specie ya Chinese bamboo inayokua kwa kasi zaidi. Wapi nitapata mbegu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…