Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba, zilivutia sababu zilikuwa 'halisi' kutokana na kugusa eneo lake la uelewa na ujuzi.

Ghafla likaja hili suala la bandari na 'mkongwe' huyu kuamua kujivika ujuzi wa kila kitu na kujinasibu kuwa na kila aina ya docs. Akaanza taratibu kushusha anazoona 'nondo' mwenyewe huku, kwa kiasi kikubwa, akitumia hamasa ya 'role model' wao anayejitahidi kuhangaika huku na kule bila mafanikio.

Mwanzoni ilikuwa angalau 1 baada ya siku mbili au tatu na, angalau, wasomaji si haba walipatikana ingawa si kwa kiwango kile cha mada zake za nyuma.

Mkongwe huyu akaamua kujipandisha mzuka zaidi, of course, kutafuta njia ya kutokea zaidi, kwa kuanzisha nyuzi nyingi zaidi....thanks kwa uwezo wake wa kumudu kuandika na kusoma. Na sasa imefikia anatoa nyuzi moja kila siku au hata kabla ya siku kupita. Sio kosa; ni uhuru wake, ni uamuzi wake ni furaha yake na kwa mbaaaali ni kama vile hayanihusu.

Ila, kama mwanaJF mwenye heshma na nidhamu na ambaye niko very concerned na uhai wa JF sababu mkongwe huyu ni mmoja wa members waliowahi kuanzishiwa uzi wa kuwa wana 'akili' sana kuna kitu nimegundua; nacho ni kushuka kwa kasi kwa wasomaji wa mada zake.

Yaani sasa hivi anapata wasomaji sawa na mimi WhoWeBe. Hili si jema. Mada yake ya mwisho, kwa mfano, iliyotoka jana mpaka sasa ina wasomaji chini ya 1k. Huyu si yeye! Yeye ilikuwa hiyo 1k inapatikana baada ya dakika tu.

Na katika mada hiyo kuna comments chache sana zinazotolewa na yeye mwenyewe tu na 'rafiki zake' wachache......wanazunguka tu wenyewe kwa wenyewe, alipojaribu kucomment mwenye mtazamo tofauti aliambulia matusi na watu wameamua kuwaachia mada yao 'wajifurahishe'.

Kama aliyekuwa frustrated na hili, amekuwa sasa akipotoka kwenye mada zake kwa kufikia kuhubiri hadi utengano wa kikanda, kirace na, mbaya zaidi, sasa taratiiiibu anaelekea kwenye ujinga wa udini!

Tunamsaidia vipi mkongwe huyu?!!!!
 
IMG_0253.jpg

IMG_0252.jpg

IMG_0251.jpg
 
Lengo la thd hua ni kufikisha ujumbe kwa hadhira,that's all,hayo mambo ya likes ni mambo ya ziada tu,nani kakuaminisha kua ubora wa thd unapimwa kwa likes nyingi? hujui kua vitu vya hovyo hapa JF ndio hupata wachangiaji wengi na likes nyingi?

Wewe kama unaona huyo mleta mada analeta mada ambazo hazikufurahishi wewe,acha kumfuatilia,fanya mambo yako,nenda kwenye thd ya kulana kimasihara,huko utakuta wenzako wengi tu na likes kibao,

Hii thd kama itakua imeanzishwa na ME basi utakua na tatizo kubwa sana,bila shaka wewe ndio unahitaji msaada wa haraka kabla hujaharibikiwa zaidi.
 
Lengo la thd hua ni kufikisha ujumbe kwa hadhira,that's all,hayo mambo ya likes ni mambo ya ziada tu,nani kakuaminisha kua ubora wa thd unapimwa kwa likes nyingi? hujui kua vitu vya hovyo hapa JF ndio hupata wachangiaji wengi na likes nyingi?

Wewe kama unaona huyo mleta mada analeta mada ambazo hazikufurahishi wewe,achu kumfuatilia,fanya mambo yako,nenda kwenye thd ya kulana kimasihara,huko utakuta wenzako wengi tu na likes kibao,

Hii thd kama itakua imeanzishwa na ME basi utakua na tatizo kubwa sana,bila shaka wewe ndio unahitaji msaada kabla hujaharibikiwa zaidi.

Unafahamu kitu kinachomfanya JF kula pesa nyingi. Au youtube watu kupata viwer !.

Tukupe elimu.

Kitendo cha watu kufungua tu ujue unaushawishi ili upelekea watu kujua kuna nini kwake.

Sasa unaeleza ukweli alafu waliofungua wawili tu tena wiki nzima. Je wewe ungesoma au unapita
 
Lengo la thd hua ni kufikisha ujumbe kwa hadhira,that's all,hayo mambo ya likes ni mambo ya ziada tu,nani kakuaminisha kua ubora wa thd unapimwa kwa likes nyingi? hujui kua vitu vya hovyo hapa JF ndio hupata wachangiaji wengi na likes nyingi?
Ulichoandika ni sawa na kusema upike wali maharage nazi uweke mezani halaf watoto waucheki tu na wasiuchangamkie halaf bado ujitie moyo kuwa msosi uko poa wakat watu wameupotezea
 
Unafahamu kitu kinachomfanya JF kula pesa nyingi. Au youtube watu kupata viwer !.

Tukupe elimu.

Kitendo cha watu kufungua tu ujue unaushawishi ili upelekea watu kujua kuna nini kwake.

Sasa unaeleza ukweli alafu waliofungua wawili tu tena wiki nzima. Je wewe ungesoma au unapita
Acha kuchanganya vitu,unataka kuifananisha JF na Youtube! mleta mada anafaidika vipi financially na hizo views au likes za JF? wewe unajuaje kua lengo la mleta mada wa JF ni kupata likes? humu jf tupo kwa malengo tofauti tofauti,

Eti tukupe elimu! hiyo elimu jipe wewe coz unaonekana huna ujualo.
 
Wewe ndo unajichanganya. Una account hata twitter ujifunze
 
Back
Top Bottom